Unaweza kuthibitisha mbinguni kupo?Tusaidiane kuwataja watu ambao hawawezi kwenda mbinguni na sababu kwanini hawataenda mbinguni😀😀.
Mtaje hata kama huyo mtu yupo mtaani kwenu,kazini,kiongozi wako..nk
Mimi naanza na
1-uncle mshana jr...huyu hawezi kwenda mbinguni kwasababu ni mshirikina sana
2-kiranga... Huyu pia hawezi kuingia mbinguni hata akipewa offer ya kuingia mbinguni na akikuta mlango upo wazi,atamuuliza Mungu ninauhakika gani kama hapa ndio mbinguni atapigwa kwenzi moja atakufa tena..
Unaweza kuthibitisha mbinguni kupo?
Unaweza kuthibitisha mbinguni kutakuwepo?
Unaweza kuthibitisha kuna watu watakwenda huko mbinguni?
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Unaelewa kwamba juu kwako ni chini kwa wenzako walio upande wa pili wa dunia?Angalia juu kwenye mawingu kule ndio mbinguni mkuu😀😀😀...lakini wewe huwezi kwenda nakwambia..
Brother mbinguni huendi walahi
Huyo haendi kabisa.1.Mzee Baba
Dunia itabaki kuwa paradiso milele yote.mbinguni watakwenda watu 144000 kutawala ufalme wa MUNGU pamoja Na MUNGU.KWA MUJIBU WA BIBLIA..UAMUZI UPO KWA WALIO HAI PEKEE
Subiri kidogo nikutafutie andiko Hilo nakuleteaHiyo idadi ya hao watu tutakao kwenda mbinguni imeandikwa sehemu gani kwenye biblia
Anapiga sana chabo na nyeto.!Jiseme kwanini huwezi kwenda mbinguni
Ufunuo 14:1-4. Mstari wa nne unaonesha waziSawa
wenye dhambi kupitiliza na wasiotaka kufuata maagizo ya MunguJehanamu ataenda nani mkuu