Ibilisi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 3,465
- 5,586
Jack Grealish.
Huyu mwamba huwa namkubali sana. Aliikwamua Aston Villa isishuke daraja 2019/20. Alisimama kinahodha kweli!
Cha ajabu vijana wengi wa kibongo kwa ujuha tu waliamua kumchukia sana kwa maelezo kuwa anamnyima pasi Samatta
Sent using Jamii Forums mobile app