List ya "Single Girls" ndani Ya Jf..

List ya "Single Girls" ndani Ya Jf..

hahahha espy hurumia mbavu zangu hahhahah kwahiyo na ww umejikuta kama mm tu
husna kakubaliana na matokeo hana la kufanya aliyempenda kachukuliwa

hivi bamdogo analelewa au ni mapenzi tu yamempeleka
Thubutuuu!! Mapenzi my foot!! Tena kahamia hukohuko, eti ananiambia nikishindwana na mume wangu niende tu kwake(alikohamia) sasa nikajiuliza si tutakuwa tumeolewa wote mtu na kaka yake.
 
Back
Top Bottom