Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
- Thread starter
-
- #41
shukrani escape one ni wapi mamy?Beach zipo nyingi unaweza kuanza na mbalamwezi pale mikocheni kwa warioba kwa mbele kiingilio 5000 huwa inabadilika,kuna bahari beach kule kunduchi getini unalipa elfu 10000 kuna hapa escape one pia kiingilio bure ukija kigamboni ndio za kumwaga kuna southbeach,barakuda beach,mikadi beach na nyinginezo to mention a few
Usiishie kusoma tu, kesho nisindikize Bagamoyo tukaogelee wote.ok shukrani kwa ufafanuzi ngoja nidowload form ya sponsorship toka italy maana kibongobongo nitaishia tu kusoma hapa
mi sisombwi ovyo kaka nina ratiba zanguUsiishie kusoma tu, kesho nisindikize Bagamoyo tukaogelee wote.
ok ngoja nitaenda hii kesho si pasafi?Escape one ipo mikocheni pia njia ile ya kawe kalibu na jkt
Haya siku ukiwa free nitakusindikiza.mi sisombwi ovyo kaka nina ratiba zangu
pasafi tuok ngoja nitaenda hii kesho si pasafi?
kuna hadi farasi mkuu?
Huko ni kula maisha kwa kwenda mbele, ni kama huko Miami au California.kuna hadi farasi mkuu?
ahahaaa halafu jtatu unakutana na picha nabii afumaniwa na muumini wakeKoko beach in noumer sana! Pale ukizubaa zubaa na mrembo wako, OFM hawachelewi kukutia pingu na kukubambika kesi ya ufuska!
sasa utanipeleka lini jamani?Huko ni kula maisha kwa kwenda mbele, ni kama huko Miami au California.
Wewe tu... mimi nitakuwa pale kuanzia kesho saa 7 mchana mpaka J.tatu alfajiri.sasa utanipeleka lini jamani?
brother umenikumbusha mbali sanaaaKoko beach in noumer sana! Pale ukizubaa zubaa na mrembo wako, OFM hawachelewi kukutia pingu na kukubambika kesi ya ufuska!
Baada ya kazi, mapumziko ninapendelea kuiacha Dar kwa muda, ninapenda kwenda Pangani, Bagamoyo au Zanzibar. Beach za huko siwezi kuelezea.