List Watangazaji wanaopenda Rushwa

List Watangazaji wanaopenda Rushwa

gugumaji

Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
25
Reaction score
19
Taja bila kuonea mtu ili tukomeshe hii tabia
Tafadhali usimtaje asiye na hatiaikibidi thibitisha tuataka Tanzania safi

Nimelenga watangazaji wa,vipindi vya miziki bongo land
 
ishaakh alfarouk Mahmoud wa DUBAI huyu anaipendelea sana Alsenal atakuwa kapewa huyu
Muhariri gazeti pendwa la wale ishara ya vidole viwili anatumiwa na mlengo wa waasi wa kijani .Kesho nitawapa CCTV footage
 
Huyu kikwetu jina lake lina sadfu matendo yake mayalla kwakisukuma ni manjaa wala sio linjaa ni manjaa
 
Wambeaa waongooo wazinziii wafirajii wanafikii sehemuuyaooo n ziwa LA.motoo
Ushawahi kusikia ziwa linamoto..kasome maandikoo upone
 
Back
Top Bottom