List: Wanaotaka lockdown, tusijilinganishe nao


Nani kakwambia China nzima watu walifungiwa majumbani?. Lockdown ya nyumba kwa nyumba ilikuwa katika jimbo la Hubei tu. Kwenye miji mingine walifunga safari za treni, mabasi, ndege etc ili watu wa mji mmoja wasiende miji mingine (Walivyokuwa wahuni wakaachia international flights ziendelee)

Ni rahisi kudeal na cases katika mji mmoja mmoja kuliko kuacha ugonjwa usambae nchi nzima.

Kuhusu uwezekano wa watu wa mji mmojammoja kuendelea kuambukizana, hiyo ni disadvantage ya kutofungia watu ndani ya nyumba kama wachina walivyofanya lakini heri mji mmoja ufe kuliko nchi nzima ife!. Hakuna equality katika kifo bali equality kwenye haki ya kuishi!
Ni bora ukate mguu ili kansa isienee mwili mzima.
Nakuhakikishia, Ikipiga Ebola Dar, Dar itafungwa kwa namna wanazojua wao. na hizi hoja zako za kuwaza usawa kwenye kufa hutozisikia.

Kinachofanyika nchini ni ubishi tu wa JPM, kwanza kalidharau tatizo, kaliita kaugonjwa kadogo, kaita kuwa ni shetani atakayeendoka kwa damu ya Yesu, Kasema tusitishane. Denial yake hii ndo inaset response ya ugonjwa. Yaani haamini kuwa Korona ni tatizo kubwa sana.
Kama angeiona Corona ni Ugonjwa mkubwa wa level za Ebola angetoa response inayohitajika
 


Lockdown hata serikali wakitumia nguvu iwepo, haitawezekana

Wananchi hawataki
 
Lockdown hata serikali wakitumia nguvu iwepo, haitawezekana

Wananchi hawataki

Hakuna mwananchi anayetaka watu wafe kwa korona

By the way hakuna aliyekuwa anapropose total lockdown.

Wananchi wanataka kuona serikali yao ikiwa responsible kuzuia kusambaa kwa korona.
 
Ukweli mtupu

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Basi hiyo sio lockdown

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unalinganisha Tanzania na China

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi hawana uwezo wa kutafakari kwa kina kama wewe wamebaki kuleta ubishi wa kitoto na kuleta ushabiki kwa kuwa wanalipwa vijisenti na mabwana zao.
 
Kwa namna na hali ya sasa ambapo ugonjwa umeshasambaa nchi nzima kuna haja tena ya hiyo lockdown? Nini kifanyike tena?
containment protocol. Na hapa nchi lazima ikubali yena kwa kuweka siasa pembeni. Ku direct asilimia kubwa ya resources zakenku roll back huu ugonjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nilipita pale mbagala bus terminal yaani hali inatisha na ni mungu tu anatunusuru
In God we Trust
 
Toa suluhisho basi maana elimu haina mwisho

In God we Trust
 
Uchumi ulishajifia kitambo, sasa wamepata kisingizio
Mbona uchumi umekufa zamani au ndio nyinyi mnaona kupewa buku saba za bia hapo Lumumba ndio uchumi umekuwa ??

In God we Trust
 
Mizungu hiyo hiyo mnayo ipigia magoti kuomba misaada! [emoji38][emoji38]
Walitaka lockdown ili wasifiwe na mizungu sasa mizungu imefungua lockdown imewashinda hawa wamatumbi nao watabadilisha gia angani, bendera fuata upepo.

In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…