List: Wanaotaka lockdown, tusijilinganishe nao

Apo kwenye ujerumani nikurekebishe kaka.
Watu walikaa lock down kwa siki 42...
Ulaya mpaka sasa hakuna nchi iliyofanikiwa kupunguza maambukizi asilimia kubwa kama ujerumani?
Hawa wameweza... na walipoona wamepungua ndio wakaruhusu watu watoke lakin kwa masharti makali sana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inashangaza sana! Yaani wapinzani wanasahau kabisa kule yetu ipo nje!!!!! Lazima utoke ndo upate kula!!! Yaani nimeamini ndio maana wakaitwa wapinzani,,,,,,,
Yaani ninachojua kibongobongo lockdown itakuja kuongeza majanga zaidi ya hili tulilonalo,,,,
Maana mahabusu zitakuwa mara dufu mtu hataweza kukubali kufa ndani kwa njaa wakati snajua akitoka anaweza kupata nafuu......
Kwahlo kwa nchi yetu hatujafikia huko hata kama itakuwa siku moja haitawezrkana maana kuka ya mchana lazima uamuke asubuhi ukaitafute ili!!
Kwahyo hii siku ukijiitahidi utapata uji tu asubuh harafu mchana na usiku itakupibi vipite kama gari la mwendo kasi!
Ila zakuambiwa changanya na zako!!!!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WANASIASA WETU ASILIMIA KUBWA HAWANA AJENDA, MISINGI NA MIPANGO ENDELEVU ISIPOKUWA MATUKIO NA MIHEMKO YA WANANCHI KWA NYAKATI HUSIKA!

MSINGI MKUBWA WA WANASIASA NA WATAWALA WETU NI UWEZO MDOGO WA WANANCHI WA KUCHANGANUO MAMBO NA KUMBUKUMBU FUPI VICHWANI MWAO!
 

Pengine utawasifia wakenya wanaozuia watu kwenda nairobi na mombasa ambayo utasema sio total lockdown, lakini wagonjwa wanaongezekana vifo vinaongezeka sasa faida yake ni nini?
 
Pengine utawasifia wakenya wanaozuia watu kwenda nairobi na mombasa ambayo utasema sio total lockdown, lakini wagonjwa wanaongezekana vifo vinaongezeka sasa faida yake ni nini?
Unaweza kusema wakenya wagonjwa wanaongezeka kwa sababu wanapima watu wengi, sisi tukipima idadi ya watu kama waliyopima wakenya patakuwa mtafutano hapa
 
Kwa kuanzia embutuwekee hapa ushahidi wa Mbowe kutaka lockdown na ushahidi kuwa ni bilionea mbali nahapo tutajadili umbea kama wamama wa uswahilini...
Ni upumbavu kushabikia jambo usilo na uhakika nalo mbele ya halaiki ya wasomi huku jf!
 
USSR, you are very right!

Mimi binafsi pia siungi mkono lockdown. Mie binafsi nikilockiwa siku tano tu nakufa njaa, achilia mbali relative dependants waliopo mgongoni mwangu.

Watanzania tulio wengi ni low class life. Most Tanzanians are working 'from hand to mouth' with no surplus of tomorrow. Wengi tunasurvive kwa deiwaka jobs. Huu ndiyo uhalisia!!

Imposing LOCKDOWN kwa nchi hii, ni kuimpose DEATH SETENCE to the poor ambao ndiyo the majority population.

Mimi nadhani watu wazingatie preventive measures on highest alert level, na mwenye uwezo financially kujilockdown afanye hivyo yeye na familia yake on individual capacity.

-Kaveli-
 
Lockdown sio msingi...

Ila nakosa himizo la kiongozi mkuu kutaka watu wajilinde na kuchukulia suala hili serious.

Hicho ndicho ningemshauri Raisi wangu mpendwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa namna na hali ya sasa ambapo ugonjwa umeshasambaa nchi nzima kuna haja tena ya hiyo lockdown? Nini kifanyike tena?
 
Mtu nasurvive kwa day-work jobs, na sina hata akiba ya Tsh laki mbili bank, na nyuma yangu nina dependants watano!

Unaanzaje kuniletea habari za lokidawuni?!!

Upo good financially, una secured job, then hauzuiwi kujilockdown on your own na uwapendao.

Tuacheni sie wavuja jasho tuendelee na maisha yetu.

Mtu kama Mbunge, has a lot of financial benefits zinaingia tu kwenye bank account hata kama amelala tu na mkewe nyumbani. No worries coz of kodi za wananchi. Huyu hata akishupalia lockdown ni sawa tu.

How about muuza matunda mwenye beseni kichwani au mama ntilie wa mtaani anayeamka SAA 10 alfajiri daily kuhangaikia profit ya Tsh 5,000 kwa kutwa ili familia ipate mlo, binadamu kama huyu unaanzaje kumuimpose lockdown? Tuacheni kuishi maisha ya kwenye video.

Mleta mada umeandika ukweli na uhalisia pursuant to maisha ya watanzania walio wengi.

Wananchi wote tuendelee, on highest level, kuzingatia precautions and all recommended preventive measures.

-Kaveli-
 
Bufa kukosekana kwa sukari tu wananchi wanalia je wangekosa na ugali
Walitaka lockdown ili wasifiwe na mizungu sasa mizungu imefungua lockdown imewashinda hawa wamatumbi nao watabadilisha gia angani, bendera fuata upepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie mlisema nchi iwekwe lockdown hayo ya aina za lockdown unayasema wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mkuu hapa ni kusaka pesa za kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Familia yake ilipoata corona alikuwa na lockdown nusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…