Wanataka serkali ifanye lockdown uchumi ufe kesho waanze kusema serkali inamipango mibovu imeuwa uchumiKuna watu katika nchi hii Wana roho mbaya ushahidi wanaona kabisa katika nyingine hali ilivyo lakini wanalazimisha lockdown
Kwanini hawaji na plan B wao ni lockdown sijui wanataka nini? Yaani mpaka wanakera sana na hawa watu ukiwachekea wanaingiza nchi kwenye matatizo
Lockdown kuna watu bila kutoka akauze nguo.anyoe nywele au asuke apige vibarua hawezi kuishiLockdown sio rahiso kama baadhi wanavyotaka ionekane ila swala la watu kujazana bar, kuzurura bila sababu, mikusanyiko isiyo ya lazima tena bila kujikinga ni janga na ndio haswa litakalotumaliza.
I wish watu wangetumia common sense tu wakajitahidi kujilinda na kuepuka niliyoyataja hapo juu maana huku mtaani kunasikitisha sana.
Kuamua Kufa kwa corona au njaaUnafikiri hawakuelewi? Wanamuelewa sana ila wamejitosa ufahamu na kutaka kulazimisha kila anayekuja hivi sasa ni Corona tu. Corona imekuwa mtaji.
Kufa tutakufa tu, iwe Corona, ajali au hata magonjwa mengine. Lakini isiwe sababu ya kututisha na kutukatiza matumaini. Kama unaipenda familia yako, utaitumikia mpaka pumzi ya mwisho.
Waongo sana tena sanaNaunga mkono hoja!
Hawana plan B zaidi ya lockdown. Utafikiri wao ndio watapea wananchi chakula wakishindwa.
Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
Eti nabakia Africa.
Ni upuuzi kufikilia lockdown kwa nchi kama yetu hata wenye pesa wameshindwa1. Freeman Mbowe ni mtoto wa tajiri na leo ni bilionea. Tangu utoto haijui shida hajui kuishiwa hajui kukosa ada hajui kutembea na vyeti kutafuta kazi. Anaweza kuamua hata kesho akae ndani miaka na bado afurahie maisha; sio wa kujilinganisha naye. Ukiona anambea lockdown nje ya eneo la Bunge jua kashiba; shibe ni mwanamalevya .USIMUIGE UTAKUFA NJAA
2. Fatma Karume, babu rais, baba mdogo rais pia ana baba mkubwa waziri kwa awamu kibao. Amekulia ikulu hajui hata kuishiwa; hajui shida nini, hajawahi kukosa chakula, hajawahi kuhangaika kuhaso na maisha. Akikwambia lockdown ni njia bora temea mate chini uondoke. UTAKUFA KWA NJAA NDANI KWAKO
3. Zito Kabwe, yeye ana mihula mitatu bungeni anakula pesa na kiinua mgongo, hajui dhiki kwa sasa japo ameipitia. Amesahu amekengeuka hajui shida. Ameshiba anachofikiria ni siasa. Leo wewe na yeye mkikaa ndani, yeye anakuwa kama yupo peponi anatuombea tuwekwe lockdown, hatupendi. UKIMUIGA UTAFIA NDANI, OGOPA.
4. WABUNGE, soon Bunge litavunjwa watakula zaidi ya mil 200 plus na bado wana mshahara wa zaid 9 milioni kwa mwezi; hata wakikaa ndani nao wanomba lockdown halafu kuna watu hawajui hata kesho wale nini wanaunga mkono, very poor. MTAKUFA NYIE, PIGENI KAZI.
U.S.A taifa kubwa leo watu wako mtaani hawataki kuwekwa ndani maisha magumu uchumi wa familia unakufa, wewe Mtanzania unalilia lockdown.
Ujerumani pamoja na kuwa ndio taifa lenye uchumi bora ulaya watu wamegoma licha ya kuwa na kesi zaidi yetu wameruhusu kurejea makazini.
Italy, Spain, Japan, Bolivia. Indian. Pakistan. na n.k wameanza kuruhusu watu kutoka maana hali si hali. Wewe Mtanzania mwenzangu kibarua cha siku ndio ule unawaiga wanasiasa. UTAKUFA KWA NJAA, TOKA KAPIGE KAZI.
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanataka serkali ifanye lockdown uchumi ufe kesho waanze kusema serkali inamipango mibovu imeuwa uchumi
Sent using Jamii Forums mobile app
Lockdown unajua maana yake ni nini?Kuna watu katika nchi hii Wana roho mbaya ushahidi wanaona kabisa katika nyingine hali ilivyo lakini wanalazimisha lockdown
Kwanini hawaji na plan B wao ni lockdown sijui wanataka nini? Yaani mpaka wanakera sana na hawa watu ukiwachekea wanaingiza nchi kwenye matatizo
Ndugu wewe kaswampe huko nje uondoe umasikini hakuna anayekuzuia. Tembea kifua mbele ufike Hadi chooni mwisho tafuta uondoe njaa yako usizuiliwe popote. Sisi tunajilockdown
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajabu nyingine, utakuta mtu yuko kijiweni asubuhi hadi jioni halafu analilia lockdown.1. Freeman Mbowe ni mtoto wa tajiri na leo ni bilionea. Tangu utoto haijui shida hajui kuishiwa hajui kukosa ada hajui kutembea na vyeti kutafuta kazi. Anaweza kuamua hata kesho akae ndani miaka na bado afurahie maisha; sio wa kujilinganisha naye. Ukiona anambea lockdown nje ya eneo la Bunge jua kashiba; shibe ni mwanamalevya .USIMUIGE UTAKUFA NJAA
2. Fatma Karume, babu rais, baba mdogo rais pia ana baba mkubwa waziri kwa awamu kibao. Amekulia ikulu hajui hata kuishiwa; hajui shida nini, hajawahi kukosa chakula, hajawahi kuhangaika kuhaso na maisha. Akikwambia lockdown ni njia bora temea mate chini uondoke. UTAKUFA KWA NJAA NDANI KWAKO
3. Zito Kabwe, yeye ana mihula mitatu bungeni anakula pesa na kiinua mgongo, hajui dhiki kwa sasa japo ameipitia. Amesahu amekengeuka hajui shida. Ameshiba anachofikiria ni siasa. Leo wewe na yeye mkikaa ndani, yeye anakuwa kama yupo peponi anatuombea tuwekwe lockdown, hatupendi. UKIMUIGA UTAFIA NDANI, OGOPA.
4. WABUNGE, soon Bunge litavunjwa watakula zaidi ya mil 200 plus na bado wana mshahara wa zaid 9 milioni kwa mwezi; hata wakikaa ndani nao wanomba lockdown halafu kuna watu hawajui hata kesho wale nini wanaunga mkono, very poor. MTAKUFA NYIE, PIGENI KAZI.
U.S.A taifa kubwa leo watu wako mtaani hawataki kuwekwa ndani maisha magumu uchumi wa familia unakufa, wewe Mtanzania unalilia lockdown.
Ujerumani pamoja na kuwa ndio taifa lenye uchumi bora ulaya watu wamegoma licha ya kuwa na kesi zaidi yetu wameruhusu kurejea makazini.
Italy, Spain, Japan, Bolivia. Indian. Pakistan. na n.k wameanza kuruhusu watu kutoka maana hali si hali. Wewe Mtanzania mwenzangu kibarua cha siku ndio ule unawaiga wanasiasa. UTAKUFA KWA NJAA, TOKA KAPIGE KAZI.
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi, umejitahidi kufafanua lakini sioni kama kuna point yako yoyote itachukuliwa kwa vile lengo la kuanzisha uzi huu si kuijadili lockdown bali ni ku-tarnish image ya watu waliotajwa hapo mwanzo.kinachowasumbua nyinyi ni uelewa kuhusu lockdown au mmeamua kupotosha makusudi, labda mgeuliza lockdown ya namna gani?.
Kupiga karantini miji ili ugonjwa usisambae nchi nzima ni jambo la kawaida katika utabibu.
Hata kipindupindu kikipiga sana kwenye miji, miji hiyo hufungwa kuzuia watu wa miji mingine kuingia au watu wa mji ulioathirika kutoka.
Lockdown ina levels zake, tunaweza tusiwe na uwezo wa kuwafungia watu majumbani mwao lakini kufunga miji iliyoathirika zaidi hilo lilikuwa ndani ya uwezo wetu.
Sasa hivi korona inatafuna watu ile mbaya, huo uchumi unaoulilia hautawasaidia waliokufa kwa korona.
Serikali imeshindwa kulinda watu wake
Wetu wengine bana nani kakwambia anataka total lockdown ?1. Freeman Mbowe ni mtoto wa tajiri na leo ni bilionea. Tangu utoto haijui shida hajui kuishiwa hajui kukosa ada hajui kutembea na vyeti kutafuta kazi. Anaweza kuamua hata kesho akae ndani miaka na bado afurahie maisha; sio wa kujilinganisha naye. Ukiona anambea lockdown nje ya eneo la Bunge jua kashiba; shibe ni mwanamalevya .USIMUIGE UTAKUFA NJAA