List of Students Selected to Join undergraduate Programmes 2012-2013 UDOM

we usituzingue,,,ungeandka UDO SELECTION,,sa umeandika LIST ina maana ya wote waloomba sasa?????take care siku nyingine
 
Mkuu nadhani umeamua kunitolea povu bika sababu. Me nimeandika hivi.
List
of Students
Selected to Join
undergraduate
Programmes
2012-2013 UDOM. Au lugha tatizo? Neno UDOM hulioni?
 
we usituzingue,,,ungeandka UDO SELECTION,,sa umeandika LIST ina maana ya wote waloomba sasa?????take care siku nyingine

Ha ha ha hah kumbe nawe unatumia cannabis? Unanishauri niandike UDO SELECTION sasa ndo nini? Then unadai ulidhani ni selection zote hivi kwenye heading huoni neno UDOM?
 
Nimefuta Guide book na sifungui tena li site la TCU saivi nacheza na HESLB pekeyao
 
NingaR,Hongera Mkuu mimi Jina langu nililiona Udsm,ila kila la kheri Kamanda michakato ya Tcu na Vitetesi tulizijadili toka ile July 15 mpaka sasa we are admitted.
 
Saivi me na habari za TCU ndo mwisho hivyo kimebaki kupeana hongera na kuombea wadau wengine!!
 
Back
Top Bottom