List of Mtaani Most Wanted

dalili za wewe kwenda zinaonekana shem..
ujue Eli79 huwa anafanya hit and run..
kuna reference moja juu yake na KOKUTONA !!

watchout i don want you to be the second..

kiwatengu umenihukumu bila sababu mkuu. Hembu toa hiyo reference ili my Khantwe asije kuwa na mawazo kuwa Nina tabia ya Ku hit and run. Umenihukumu vibaya ndugu mwenyekiti.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kiwatengu yaani leo ati humjui shemeji yako?
 
Last edited by a moderator:
kiwatengu ivi ni sawa kweli kumwambia mke wangu mimi nna michepuko? Huoni kama huko ndani patakua padogo mkuu??

pawe padogo mara ngapi yaani katika watu nawaamini kiwatengu namba moja gazeti lake ni makini sana
 
Last edited by a moderator:
na chai imegeuka shubiri hapa usiku ukiingia ishia huko huko usirudi

Aiseee.... huyu kiwatengu huyu sijui ana ajenda gani au kaka mkubwa kiwatengu unaweza kuniambia unafanya hivi kwa agizo la nani? Isiwe kuna mtu kakupa hela uniharibie ndoa yangu?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…