Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,172
- 7,429
Haisemwagi hivyo mkuu!Kweli ni Rubbish wala hakukosea..Lisu kiboko ya mabashite yote!,wapi profesa wa karatasi..
Subiri Jtatu Raisi anasema usicheze mbali na TV yako ili unyanyue makwapa ya kumshangilia vizuri
Sijasema usifu kitu kama unaona kina kasoro, nimesema ubakosoa kwa lugha ya staha. Hebu fikiri mfano wewe umefanya kazi yako kwa kutumia muda akili na resources nyingine, halafu unamaliza na kuwasilisha halafu anaibuka mtu mmoja anayeaminika kuwa msomi anakuambia what you did is total rubbish! Hahahaha, hatuendi hivyo aiseee, Lisu yuko vizuri ila kwa lugha hizi sio aisee, ajirekebisheSasa kama ni rubbish ulitaka asemeje? yaani ma CCM yanapenda kusifiana ujinga
Mkapa aliwaita wapinzani woote Malofa Huyu wasasa ana lugha za kejeli na za kuudhi pia kunaubaya gani Lissu kuiita riport ya CCM kuwa ni Rubbish kama kweli ipo hivyo? usipende ku-"SUGARCOAT" mambo kama ni nyekundu sema ni "NYEKUNDU"Sijasema usifu kitu kama unaona kina kasoro, nimesema ubakosoa kwa lugha ya staha. Hebu fikiri mfano wewe umefanya kazi yako kwa kutumia muda akili na resources nyingine, halafu unamaliza na kuwasilisha halafu anaibuka mtu mmoja anayeaminika kuwa msomi anakuambia what you did is total rubbish! Hahahaha, hatuendi hivyo aiseee, Lisu yuko vizuri ila kwa lugha hizi sio aisee, ajirekebishe
Kwa watu wenye ujuzi na fani ya miamba wanajua ukweli halisi na ndio maana wengi wao walishangaa hiyo report kama kweli hiyo copper concentrate ina madini kiasi kile!! Kwa dunia hii migodi ingekuwa iko nafasi ya juu sana!! Ndio maana lisu alitumia lugha kali kiasi kile kwani masuala ya kitaalam ni kosa kubwa kuweka siasaUjue mara nyingi wapinzani wanakuwa na hoja nzuri tu kwenye mambo mbalimbali shida ni kutoa mawazo yao kwa jazba na lugha chafu. Mwishowe wanaharibu ladha yote ya hoja zao.
"Ripoti ya Mchanga it is Rubbish! Rubbish!" Lissu (2017).Ni mfano mmoja miongoni mwa mingi.
Hauwezi ukawakosoa wasomi wenzako kwa kutumia lugha za namna hii. Haikubaliki dunia nzima. Wasomi hukosoana kwa hoja lakini kwa lugha zenye staha. Mfano huwezi kumuambia mtafiti, mchunguzi, au mtoa ripoti kuwa "ripoti yako ni upuuzi mtupu" badala yake unatakiwa umuambie ripoti yako ina upungufu mkubwa n.k
Kwa hiyo ni vizuri kuwa makini na utumiaji wa lugha unapowakosoa wasomi wenzako, vinginevyo hata kama una hoja ya msingi utapuuzwa.
Hakuna siasa ktk ile report ya wanasayansi na ule ndiyo ukweli wa report yenyewe.Kwa watu wenye ujuzi na fani ya miamba wanajua ukweli halisi na ndio maana wengi wao walishangaa hiyo report kama kweli hiyo copper concentrate ina madini kiasi kile!! Kwa dunia hii migodi ingekuwa iko nafasi ya juu sana!! Ndio maana lisu alitumia lugha kali kiasi kile kwani masuala ya kitaalam ni kosa kubwa kuweka siasa
Eti wanasayansi?!!! Haya tusubili wasomi wengine wa j3Hakuna siasa ktk ile report ya wanasayansi na ule ndiyo ukweli wa report yenyewe.
Uiite rubbish au sijui uiite takataka ndiyo report iliyofanyiwa kazi na wataalam
Mimi sina shida na content, hata kama ina kasoro kiasi gani, ishu lugha. Kuna aina ya lugha mtu ukishafikia hatua fulani haupaswi kuzitumiaHakuna siasa ktk ile report ya wanasayansi na ule ndiyo ukweli wa report yenyewe.
Uiite rubbish au sijui uiite takataka ndiyo report iliyofanyiwa kazi na wataalam
Kwa hiyo Lissu na yeye ni mjuvi wa mambo ya Miamba..?Kwa watu wenye ujuzi na fani ya miamba wanajua ukweli halisi na ndio maana wengi wao walishangaa hiyo report kama kweli hiyo copper concentrate ina madini kiasi kile!! Kwa dunia hii migodi ingekuwa iko nafasi ya juu sana!! Ndio maana lisu alitumia lugha kali kiasi kile kwani masuala ya kitaalam ni kosa kubwa kuweka siasa
Oya! Rubbish ni Rubbish tu aisee!Sijasema usifu kitu kama unaona kina kasoro, nimesema ubakosoa kwa lugha ya staha. Hebu fikiri mfano wewe umefanya kazi yako kwa kutumia muda akili na resources nyingine, halafu unamaliza na kuwasilisha halafu anaibuka mtu mmoja anayeaminika kuwa msomi anakuambia what you did is total rubbish! Hahahaha, hatuendi hivyo aiseee, Lisu yuko vizuri ila kwa lugha hizi sio aisee, ajirekebishe
Lisu umeanza kumfahamu lini? Tuanzie hapo kwanza labda.Kwa hiyo Lissu na yeye ni mjuvi wa mambo ya Miamba..?
Hata kama ningekuwa nimemfahamu usiku huu, haiwezi kubadili swali langu hapo juu kuwa kama na yeye ni mjuvi wa mambo ya miamba.Lisu umeanza kumfahamu lini? Tuanzie hapo kwanza labda.
Hawaelewi hawa watu hata uwaeleweshe vip, Lissu alikuwa sahihi kabisaKwa watu wenye ujuzi na fani ya miamba wanajua ukweli halisi na ndio maana wengi wao walishangaa hiyo report kama kweli hiyo copper concentrate ina madini kiasi kile!! Kwa dunia hii migodi ingekuwa iko nafasi ya juu sana!! Ndio maana lisu alitumia lugha kali kiasi kile kwani masuala ya kitaalam ni kosa kubwa kuweka siasa
Kama ni wataalam basi kuna mahali walifungwa pingu kiasi kwamba wakawa hawana namna ila kumfurahisha aliyewatuma. Si unajua tabia ya viongozi wa kiafrika bwana, wanapenda kusikia kile walichokwisha kuamua!!Hakuna siasa ktk ile report ya wanasayansi na ule ndiyo ukweli wa report yenyewe.
Uiite rubbish au sijui uiite takataka ndiyo report iliyofanyiwa kazi na wataalam
Kwa watu wenye ujuzi na fani ya miamba wanajua ukweli halisi na ndio maana wengi wao walishangaa hiyo report kama kweli hiyo copper concentrate ina madini kiasi kile!! Kwa dunia hii migodi ingekuwa iko nafasi ya juu sana!! Ndio maana lisu alitumia lugha kali kiasi kile kwani masuala ya kitaalam ni kosa kubwa kuweka siasa