Lissu Vs. Chikawe: Prosecute or Not to Prosecute Chenge in BAE Scandal

Lissu Vs. Chikawe: Prosecute or Not to Prosecute Chenge in BAE Scandal

Mh.Tundu Lisu ameitaka serikali kumshaki Adrew chenge kwa wizi wa mabilion ya pesa za walipakodi lakini msemaji wa serikali anamjibu eti awapeleke wahusika mahakaman kama anaushahidi je wanajamvi inamaana hiyo report ya mtafiti kutoka Uingereza haikuifikia serikali

Wana JF,
Am very sorry to say this, ila hii ndio itakuwa hali halisi mbela ya upeo wa macho yangu na huko usoni mwa tuendako , Ni mpaka hapo atakapotoke mtu amechoshwa na majibu ya serikali ya kimzaaa na kejeri kwa wapiga kura na akamtungua mtu kichwa kwa risasi ndio nadhani viongozi wetu watashtuka na kuwa macho kuwa sasa hawa wananchi sio tena wavumila AMANI kwani watakuwa wamechoshwa na si ha sa huku in normal cases wananchi wana jijua nchi yao ina uwezo mkubwa kiasi gani kutokumbwa na dharula kama ya umeme madawa wakina mama kujifungua kwenye foleni na kulala sakafuni huku serikali yao ikipitisha order ya kununu VX za kuanzia mil 250 sasa hapo mtu akichukua panga au bomu la petrol utamlaumu huyo mtu wa lower class kweli? Serikali yake imeshindwa japo kuboresha hata matibabu basi bali anashinda akiwaona viongozi wakipitisha miswaada ya matumizi ya office zao kununua VX 200m, anakuambia sina eneo la kufanyia biashara yeye machinga complex serikali imepangisha kwa wajanja, naitaji kwenda kulima serikali haijatengeneza mipango mathubuti ya wakulima wadogo kupata pembejeo na mikopo na soko la kuuza mazao yao pamoja na kulima kwashida hakuna bei ilio pangwa sasa wakinyanyua mitutu na mapanga mtasema ni wavunja AMANI hapo kweli nani anamfanya mwenzake apandwe na jaziba sasa kama sio serikali ???
 
Kuna vitu vinauzi hii nchi basi tu,hakuna maendeleo yoyote ktk hii nchi yatakuja kama Ccm hii itaendelea kuwa madarakani kwa kweli ubabaishaji ni mwingi mno
 
Wabunge wa CCM ndio hao waliojihusisha na rushwa katika uchaguzi mkuu 2010, leo watathubutuje kukemea ufisadi wa Chenge? 'Akawaambia asiye na dhambi awe wa kwanza kumpiga mawe, akainama chini akiandika, aliponyanyua macho wale watu walikuwa wameondoka kwa kuchomwa na dhamiri zao'.
 
CCM ndio chanzo cha umasikini na mateso nchi hii.
 
Kama kungekuwa na namna wanaotaka maendeleo wanakaa nchii yao basi ningeenda ishi tuu
 
ni aibu kwa bunge letu, Mh sita amesema matatizo ya EPA na wizi mwingine ni bora ushughulikiwe baada ya katiba mpya. tunaenda wapi???Sita nilimueshimu sana ila kwa hili sitamsamehe.mwizi amepewe miaka yote hadi katiba mpya! hoja ya kumpa umewezo Takukuru badala ya kusubili kibali kutoka kwa DPP nayo wameizima. Nashukuru mungu kwamba wananchi wanaona haya madudu na wanaona wabunge wanao piga kelele za ndiyooooo!!!hukumu yao hiko karibu
 
Nimejisikia vibaya sana. wanachofanya wabunge wa ccm ni uhuni kwa wananchi. inakera! inakera! inakera! inakera! inakera
 
Tundu Lissu kajibiwa kuwa, kama unaushahidi leta tuupeleke mahakamani au upeleke takukuru au upeleke wewe mwenyewe Mahakamani.Sasa anangoja nini?
Faiza, nakuusia kuwa mnyenyekevu sana ktk huu mwezi kwani ndo mwezi ambao amali zako hupandishwa mbinguni. So panapo haki sema haki wala usiongozwe na matamanio ya nafsi au dunia(wala usichanganye haki na batli). Means dnt creating situation as if that all of we, that are not cdm accptng rubbish things done by ccm. The side effects of such decisions by ccm mp will largely affect ur colleagues which are now suffering from dead life stuation-at vingunguti,manzese,mabibo,bugruni, kigogo etc who can not even have access of using social networks like jf! Why then faiza enh?
 
Wabunge wote wa ccm ni watumwa kwa kiasi fulani. Wakiwa nje ya Bunge wanaonekana kuwa na akili timamu na hata kulalamika kuhusu utendaji wa serikali lakini bungeni hawathubutu kusema au kusimamia yale wanayoyalalamikia huku mtaani. Kama mbunge hayuko huru wananchi wa kawaida watakuwaje?
CCM utafikiri wamezifunga akili za wananchi hususani swala la kufikiria, nina imani yanayotendeka bungeni wanajionea au wanayasikia lkn utashangaa wakati uchaguzi ukikalibia wanajiweka kimbelembele na ma-tisheti, makofia na makanga yao ya njano na kijani uku wakiimba 'ccm nambari one'. nambari one kitu gani, nambari one kutetea mafisadi; kwakweli wanachama na wabunge wa CCm wote wanakera.
 
Nimependa sana majibu ya Sitta

Wewe nawe fisadi...ina maana unasubiria katiba mpya ndio iwahukumu akina Chenge??
katika siku alizochemka leo Sitta kachemsha na Mnyika kampa kubwa!!
 
malaria Sugu yupo wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?
 
wenyewe ni mafisadi, mh.sita kaizima hoja kisela!
 
Tundu Lissu anao, anayo barua ya Fraud officer wa uingereza duh!
 
hivi mawaziri na wabunge wa kujivua gamba wanaweza kuwacheka wale watemi waliosaini mikataba ya kiraghai bila kujua kusoma??kama hawa wanamagamba walisoma historia hii,je watoto wao au wajukuu wao wanawasimlia nini kuhusu utumwa,ukoloni???Ni aibu kwa watanzania kutothamini wenzao
 
Akili za wabunge wa ccm sijui ziko wapi?!! yaani wanadhani wanaikomoa chadema kumbe wanakata mti waliokalia wao wenyewe...siku zao zinahesabika tu
 
Hawawezi kumshitaki kwa sab zilezile kwamba walishiriki watu kibao,Ni vigumu kumshitaki Chenge kama ilivyokuwa vigumu kumshitaki mmiliki wa Kagoda
Ndiyo maamuzi magumu hayo
 
Back
Top Bottom