Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,679
- 4,382
mh kwa kweli CCM ni janga la kitaifa wamepunguza hata muda wa kuchangia bungeni lukuvi kawasilisha makinda kabariki mibunge ya ccm inakubali tuu ndiyoo. majibu ya sita yamenifurahisha kwa kweli inaelekea na yeye ana hamu nayo sana itamfanya awe huru.