Lissu umeshindwa kupindua meza?

Lissu umeshindwa kupindua meza?

Mf
Hapana. Meza ilishapinduliwa tayari. Lissu yupo offensive. Na Magu yupo defensive. Sio kama 2015 ambapo kampeni zima Chadema walikuwa wakijitahidi kujibu mapigo ya CCM baada ya kumsimamisha mgombea dhoofu (elimu! elimu! elimu!) na mwenye makandokando mengi ya ufisadi. Lissu ameshaongelea haki vizuri akaeleweka. Pia ameongelea uhuru vizuri akaeleweka. Sasa lazima ajikite kwenye sera za 'maendeleo ya watu" huko kwenye umasikini mkubwa yaani mawilayani na vijijini.
Mfarijini tuuu iliaendelee kupayuka payuka hovyooo. Kwa akiliyako unaweza linganisha bashasha na nderemo enzi zile za lowasa na huyu lisu wenu??
 
Fao la kujitoa litampa kura nyingi mno kama atalinadi kwa nguvu za kutosha.
Wanagapi wana muda na FAO la kujitoa?
Kati ya watumishi milioni 2 secta zote wenye shida na hilo fao hawazidi laki moja, engine bado wanasubili kustaafu, na wengina wanakubaliana na hilo kwa kuwa wanajua umuhimu wake.
 
Lissu umeshindwa kupindua meza? Kuna hujuma? Wananchi hawajakuelewa? Timu yako ya kampeni ndio imepwaya? Tatizo ni ukosefu wa fedha?

Kuna tatizo kubwa sana la ajira katika nchi hii. Umeshindwa kutumia gap hilo kuwafanya wananchi wakuone kama mkombozi wao katika hili? Licha ya ajira za uchaguzi zilizotangazwa na Tamisemi nafasi 13,000 kwa nini wewe usije na sera ya kuajiri watumishi zaidi ya 50,000 huku ukilitangaza kwa nguvu zote?

Kuna watu wanateseka sana kupata mafao yao hususani waliomaliza mikataba yao au kuachishwa kazi. Nani awasemee kwa nguvu zote kama sio wewe? Kwanini hulipigii kelele sana swala hili? Naamini wananchi watakuelewa.

Suala la elimu hususani vyuoni hujalitangaza kwa nguvu zote. Sisemi kwamba hujalitangaza kabisa, hapana. Tatizo ni kwamba watu hawajakuelewa bado

Pamoja na uwepo wa hospitali na vituo vingi vya afya bado ni changamoto kubwa sana kupata Huduma bora. Njoo na mkakati mzito wa kuwaaminisha wapiga kura wakuamini na wakuchague wewe

Tunaweza kupambana na kutukanana huku mitandaoni. Lakini ukweli ni kwamba BADO MEZA HAIJAPINDULIWA. Tulioko huku mitandaoni tunaweza kuwa tunapimana kwa mipasho kutokana na mahaba ya dhati tuliyo nayo kwa wagombea wetu but uhalisia uko hivyo kwenye field yenyewe.Mikakati mizito ifanywe ili kuwaaminisha wapiga kura kuwa Lissu ndiye jawabu la changamoto nyingi zinazowakabili wananchi
Labda Tundu Lissu hawezi kupindua meza ya NEC na Polisi tu ila kama ni sanduku la kura Lissu ana uhakika wa 60%+ ya kura zote za Watanzania.

Ila mwambieni Magufuli alitaka kuiba kura za Lissu mwaka huu patachimbika. Kama Malawi wameweza kuandamana dhidi ya Peter Mutharika na Majaji wakawaunga mkono, basi ajuwe hata Tanzania HATUTAKUBALI KUIBIWA.
 
Lissu umeshindwa kupindua meza? Kuna hujuma? Wananchi hawajakuelewa? Timu yako ya kampeni ndio imepwaya? Tatizo ni ukosefu wa fedha?

Kuna tatizo kubwa sana la ajira katika nchi hii. Umeshindwa kutumia gap hilo kuwafanya wananchi wakuone kama mkombozi wao katika hili? Licha ya ajira za uchaguzi zilizotangazwa na Tamisemi nafasi 13,000 kwa nini wewe usije na sera ya kuajiri watumishi zaidi ya 50,000 huku ukilitangaza kwa nguvu zote?

Kuna watu wanateseka sana kupata mafao yao hususani waliomaliza mikataba yao au kuachishwa kazi. Nani awasemee kwa nguvu zote kama sio wewe? Kwanini hulipigii kelele sana swala hili? Naamini wananchi watakuelewa.

Suala la elimu hususani vyuoni hujalitangaza kwa nguvu zote. Sisemi kwamba hujalitangaza kabisa, hapana. Tatizo ni kwamba watu hawajakuelewa bado

Pamoja na uwepo wa hospitali na vituo vingi vya afya bado ni changamoto kubwa sana kupata Huduma bora. Njoo na mkakati mzito wa kuwaaminisha wapiga kura wakuamini na wakuchague wewe

Tunaweza kupambana na kutukanana huku mitandaoni. Lakini ukweli ni kwamba BADO MEZA HAIJAPINDULIWA. Tulioko huku mitandaoni tunaweza kuwa tunapimana kwa mipasho kutokana na mahaba ya dhati tuliyo nayo kwa wagombea wetu but uhalisia uko hivyo kwenye field yenyewe.Mikakati mizito ifanywe ili kuwaaminisha wapiga kura kuwa Lissu ndiye jawabu la changamoto nyingi zinazowakabili wananchi
We dogo unaishi wapi? Mbona hayo kaisha yazungumza kitambo Sana, sema watz wengi Wana akili kisoda,
 
Mf
Mfarijini tuuu iliaendelee kupayuka payuka hovyooo. Kwa akiliyako unaweza linganisha bashasha na nderemo enzi zile za lowasa na huyu lisu wenu??
Unaongelea kupayuka? Kati ya Lissu na Magufuli nani Mpayukaji ?
Hivi kweli kuna Mpayukaji atakayemzidi Magufuli aliyeahidi kumtafutia mama yake anayeumwa hawara baada ya kupewa jogoo pale Kilwa?

Lissu anagonga hoja zinazowakera wala siyo Mpayukaji.
 
Lissu umeshindwa kupindua meza? Kuna hujuma? Wananchi hawajakuelewa? Timu yako ya kampeni ndio imepwaya? Tatizo ni ukosefu wa fedha?

Kuna tatizo kubwa sana la ajira katika nchi hii. Umeshindwa kutumia gap hilo kuwafanya wananchi wakuone kama mkombozi wao katika hili? Licha ya ajira za uchaguzi zilizotangazwa na Tamisemi nafasi 13,000 kwa nini wewe usije na sera ya kuajiri watumishi zaidi ya 50,000 huku ukilitangaza kwa nguvu zote?

Kuna watu wanateseka sana kupata mafao yao hususani waliomaliza mikataba yao au kuachishwa kazi. Nani awasemee kwa nguvu zote kama sio wewe? Kwanini hulipigii kelele sana swala hili? Naamini wananchi watakuelewa.

Suala la elimu hususani vyuoni hujalitangaza kwa nguvu zote. Sisemi kwamba hujalitangaza kabisa, hapana. Tatizo ni kwamba watu hawajakuelewa bado

Pamoja na uwepo wa hospitali na vituo vingi vya afya bado ni changamoto kubwa sana kupata Huduma bora. Njoo na mkakati mzito wa kuwaaminisha wapiga kura wakuamini na wakuchague wewe

Tunaweza kupambana na kutukanana huku mitandaoni. Lakini ukweli ni kwamba BADO MEZA HAIJAPINDULIWA. Tulioko huku mitandaoni tunaweza kuwa tunapimana kwa mipasho kutokana na mahaba ya dhati tuliyo nayo kwa wagombea wetu but uhalisia uko hivyo kwenye field yenyewe.Mikakati mizito ifanywe ili kuwaaminisha wapiga kura kuwa Lissu ndiye jawabu la changamoto nyingi zinazowakabili wananchi
Sasa mtu mwenyewe hajui shida na mahitaji ya wananchi unamfundisha kisha unataka tu achaguliwe wee ni mzima kweli?
Lissu ni msomi ila ni kibaraka tu ili akidhi uroho wake wa mali.
Sipendi kuamini lissu hajui watanzania wanataka nini. Vinginevyo nitaona kama kazaliwa na inferiority complex kunyenyekea wazungu hadi kuamini kila wasemalo.
 
Tunahitaji mabadiliko magu ameleta mambo ya hovyo ikiwa ni pamoja na ukabila.
 
Sasa mtu mwenyewe hajui shida na mahitaji ya wananchi unamfundisha kisha unataka tu achaguliwe wee ni mzima kweli?
Lissu ni msomi ila ni kibaraka tu ili akidhi uroho wake wa mali.
Sipendi kuamini lissu hajui watanzania wanataka nini. Vinginevyo nitaona kama kazaliwa na inferiority complex kunyenyekea wazungu hadi kuamini kila wasemalo.
Lissu anawa nyenyekeaje wazungu? Huyu Palamagamba Kabudi anapokwenda huko Ufaransa na US kwa niaba ya Rais kuomba misaada unakuelezaje? Nani ananyenyekea wazungu kati ya Lissu aliyekwenda kutibiwa baada ya kupigwa risasi na kikundi cha Makonda Au CCM inayotegemea misaada ya wafadhili kwenye afya elimu na ulinzi?
 
Sijui ni wangapi wanajua maana huko vijijini wanaulizia hivyo vyama vya upinzani viko wapi? Na watatusaidiaje tutoke kwenye hili lindi la umaskini?
Upinzani karibuni vijijini mkiwa na majibu sahihi kwa wapiga kura!
Sasa chama tawala kimefanya nini huko vijijini?
Si ndo maana bado ni vijiji tu kwa miaka nenda rudi chini ya hiyo hiyo CCM
 
Matatizo ya nchi hii hayaitaji nguvu nyingi kuwaeleza wananchi Kama unavyo dhani.

Tatizo la ajira:watu wote wanajua Kama magufuli ameshindwa kutatua Hilo tatizo.

Elimu:dunia unajua Kama magufuli ameshindwa kwenye elimu.

Afya:dunia yote unajua Kama atufuli hana uwezo wa kuhakikisha Kila mwananchi anakuwa na bima ya Afya.

Barabara:Kila mtu anajua jinsi mzee wetu alivyopiga 10%kwenye miradi ya barabara kipindi akiwa wizarani na mpaka Sasa.

Ndege:inafahamika kwamba mikataba kikubwa ya ununuzi wa ndege imefanyikia gizani,wameuziana ndege kana kwamba wanauziana bange,hakuna anayejua kwanini mzee amelazimisha kununua ndege.

Hayo ni machache Kati ya mengi ambayo huyu mzee ameshindwa vibaya na ndio kitu pekee kinamfanya lissu afanye kampeni kwa kujidai na bila hofu ya kukosa ushindi.
Uzushi weka uthibitisho hatutaki mambo ya vijiweni utuletee humu.
 
Back
Top Bottom