Huyu aliyefuta fao la kujitoa hatumtaki hata kumjua jina lake. Kaharibu ndoto za vijana wengi.Kwa sasa ni kuhakikisha serikali ya ccm chini ya Jemedari Magufuli inaendelea kubaki madarakani hilo ndo lamsingi kwasasa. Achana na Lissu anapoteza muda wake View attachment 1564934
Kwa masilahi mapana ya nchi yaliyotendeka yalipaswa kutendeka. Hakuna ubishi Magufuli kafanya mambo makubwa sana katika kipindi chake cha kwanzaHuyu aliyefuta fao la kujitoa hatumtaki hata kumjua jina lake. Kaharibu ndoto za vijana wengi.
Lissu anatia huruma sana tuSometimes mitandaoni raha sana..hasa linapokuja swala la kumjadili Lissu
Jr[emoji769]
Hivi kweli anakuzidi weweLissu anatia huruma sana tu
Kwani mko wangapi?Huyu aliyefuta fao la kujitoa hatumtaki hata kumjua jina lake. Kaharibu ndoto za vijana wengi.
Sijui ni wangapi wanajua maana huko vijijini wanaulizia hivyo vyama vya upinzani viko wapi? Na watatusaidiaje tutoke kwenye hili lindi la umaskini?Matatizo ya nchi hii hayaitaji nguvu nyingi kuwaeleza wananchi Kama unavyo dhani.
Tatizo la ajira:watu wote wanajua Kama magufuli ameshindwa kutatua Hilo tatizo.
Elimu:dunia unajua Kama magufuli ameshindwa kwenye elimu.
Afya:dunia yote unajua Kama atufuli hana uwezo wa kuhakikisha Kila mwananchi anakuwa na bima ya Afya.
Barabara:Kila mtu anajua jinsi mzee wetu alivyopiga 10%kwenye miradi ya barabara kipindi akiwa wizarani na mpaka Sasa.
Ndege:inafahamika kwamba mikataba kikubwa ya ununuzi wa ndege imefanyikia gizani,wameuziana ndege kana kwamba wanauziana bange,hakuna anayejua kwanini mzee amelazimisha kununua ndege.
Hayo ni machache Kati ya mengi ambayo huyu mzee ameshindwa vibaya na ndio kitu pekee kinamfanya lissu afanye kampeni kwa kujidai na bila hofu ya kukosa ushindi.
Na hata hivyo kundi la Kwanza ulilolitaja ni helpless kwenye upigaji kura, ni nadra kumuona mfanyakaz ameenda kupanga folen kuanzia asubhi mpak jion akipigwa jua ili apige kura , Weng hubak home na kushangilia , wanachuo nao ndo hvo ikitangazwa Tu kila mmoja akapige kura kituo alichojiandikishia 80% wanakuwa dumped out , Ukiachilia mbali mianya ambayo CCM inayo , bado wana mtaji mkubwa wa wapiga kura waaminifu , akina mama na watu wa kijijini hawa watu wanamkubali JPM Zaid ya maelezoInatakiwa namba kubwa ya wapiga kura,namba kubwa si wanafunzi wa vyuo,wala si wafanyakazi wa serikali,wala si jobless waliomaliza vyuo vikuu.
Namba kubwa ni wamachinga,bodaboda,wakulima na wafugaji hasa watu walio vijijini.
Ili kushinda uchaguzi huu hasa ngazi ya uraisi ni kuleta hoja batamzinga,zitakazo leta impact kubwa kwa makundi hayo.