Lissu tusamehe, tumekosa sisi, tumekosa sana

ABC ZA 2025

JF-Expert Member
May 2, 2018
1,160
706
Lissu wasalaam!
____________________
Jana mwaka jana majira ya saa saba mchana bila huruma ukamiminiwa risasi kama mvua ya mawe mithili ya gaidi la ISIS, huku wauwaji wakijisemesha " maliza kabisa huyo msaliti Wa Taifa, huyu anatumiwa na mabeberu " huwezi amini magazini nzima ya SMG yenye risasi 30 ikaisha wakaanza nyingine nayo zikatoka risasi 8 mfululizo nakufanya jumla ya risasi 38 zilizoelekezwa kwako huku 16 zikikupata,Ukalia kwa uchungu kinyaturu kama kangaroo anayejilaza ili kuchinjwa ukasema " Aghwaa chuu mumbuanghaa ndendee "_ yaani jamani ndugu zangu mbona mnaniua bure lakini hakuna aliyejali wala kukusikiliza,Ni wewe unayemfanya mkuu Wa nchi hii asitawale kwa amani na Utulivu, eti haiwezekani uwaambie waTanzania kuwa wamepata. " rais Wa Ajabu " kuwahi kutokea, eti haiwezekani umuite Rais " dikteta Uchwara " eti haiwezekani useme ACACIA hii ya mabeberu wezi haitatulipa jumla ya US$ 190b yaani US$ 40b ya malimbikizo ya kodi na US$ 150b ya faini sawa na jumla Tsh trl 418 hii nikwa mujibu wa mamlaka ya mapato Tanzania ( TRA ) achilia mbali zile tsh trl 108 za Makinikia zinazofanya jumla ya fedha yote tunayowadai wezi wa Acacia tangu mwaka 1998 tsh trl 526 sawa na US$ billion 239 huku wao Acacia wakimiliki mtaji wa US$ billion 0.21581 sawa na tsh trl 4.75 mwaka 2017/18 kwa lugha rahisi tulikuwa tunawadai karibu mara 1,100 ya walichonacho wao au yamtaji wao,Na kama tutalipwa pesa hiyo inaweza kugharamia bajeti ya Tanzania kwa miaka 16 mfululizo yaani hadi 2034 tule tunywe tulale bila kodi yeyote.Lissu wewe ulikataa hili ukasema haiwezekani ukaitwa msaliti wa Taifa letu hakika kaka tusamehe sisi tu wakosaji kwako na kwa Mungu pia.
____________________________
Wakati wananchi wanajiandaa kupokea Noah kwa kila mmoja na tayari wasio madereva walishaanza kujifunza udereva, Haiwezekani wewe useme Acacia ya mabeberu hawatatulipa hata mia moja zaidi sana watatushtaki kwenye mahakama za usuluhishi Wa kibiashara (Arbitration court) na lazima tutashindwa kwani wezi hawako Acacia wako ndani ya CCM kwani tayari walishasaini mikataba ya kuliumiza/kuliangamiza Taifa hili na tusipokuwa makini tutawalipa fidia kwa matrioni, Sisi tukashupaza shingo kwani tuna ma-Prof Wa sheria kibao akiwemo Prof nguli wa sheria Palamagamba Mwaluko Kabudi lazima tulipwe, eti haiwezekani wewe uwaambie waTanzania wampinge Rais mteule Wa Mungu Mh Dk John Joseph Pombe Magufuli eti kwamba asipodhibitiwa mapema hataishia kwa wanasiasa pekee bali makundi mengine kama Wafanyabiashara,Wakulima,Wavuvi,Wafanyakazi,Maaskofu,Wachungaji, Mapadre, Wanahabari,Wabunge, Wanazuoni, Matajiri/ Masikini,Wawekezaji Wa inje na ndani nao wajiandae kisaikolojia kwani kiama chao nao chaja kwani hakuna aliyeko salama.Haiwezekani useme Ndege yetu ya bombardier Q 400 imekamatwa huko Canada kwa deni la kujitakia.Leo kila ulichosema na kutuonya tukakuita msaliti kimetimia vilevile kama ungekufa tungekuja kwenye kaburi lako kukuomba msamaha.
" Lissu heri tumbo lililokubeba miezi tisa na maziwa uliyonyonya"
____________________
HAKIKA HATUKUYAJUA YAJAYO Baada ya sakata la makontena ya Makinikia takribani 277 yaliyosemwa yalikuwa na thamani ya tsh 829.4b kwa bei ya chini na tsh 1,438.86 kwa bei ya juu ya soko, Nadhani unakumbuka uliwaacha wale walioitwa wanaume wakiwa ni timu ya watu 14 baadae wakaongeza vyombo vingine 11 na kufikia jumla ya vichwa 25 wakiongozwa na Mwenyekiti mtendaji wa Barrick ProfJohn Thornton huku timu yetu ikiongozwa na Prof Palamagamba Mwaluko Kabudi bila kufahamu idadi wala majina ya wajumbe wengine ukimwacha AG, Baada ya kimya kirefu wakaja na maazimio 18 huku Barrick wakikubali kutoa fedha za kishika uchumba (Good faith) ya US$ 300M sawa na tsh 700b ambazo haraka tu mkurugenzi wa Acacia Gold Mine Bw Brand Gordon alikataa kuwa hawezikulipa fedha zile bila kujali makubaliano yaliyofikiwa na Mwenyekiti Mtendaji Wa Barrick Gold Mine Prof John Thornton na timu yetu,Kimsingi Barrick ndio wanamiliki wa 63.9% ya Shea zote za Acacia, Huwezi amini hadi leo Tanzania hatujapokea hata mia licha ya Waziri Wa Katiba na Sheria kuliambia Bunge letu tukufu kuwa tumelipwa pesa nyingi ila hatuwezi kuzitaja hadharani wanaume wanaotudai wataziijia kitu ambacho ni mwendelezo wa Uongo Wa Waziri huyu mwenye elimu ya juu kabisa duniani it's simple tu kama wametulipa hiyo good faith mahakamani London wanatafuta nini? CCM mmeliumiza sana Taifa hili masikini kwa maslahi yenu .
_________________________________
Lissu kaka yangu umeonewa tu tangu mwaka 1988 wakati wewe hujaanza siasa hadi leo ni makontena kati ya 44,227-61,320 yametoroshwa sawa na hasara ya kati ya tsh trl 108 -180 kwa kiwango cha juu na cha chini, Kontena zote hizi zimepotelea mikononi mwa wana CCM/makada hawahawa waliokunyima hata fedha ya matibabu kwamba eti wewe unatumiwa na mabeberu kulihujumu Taifa hili kwa kutueleza ukweli kwamba makosa ni yetu Sisi tuliosaini hii mikataba pole sana kaka.
Kwa mujibu Wa tume za makinikia Tanzania imepoteza silver zenye thamani ya tsh 366.66b,Copper ya trl 2.86, Surphure ya 277.393b, Chuma cha tsh 368.2b,Zinc ya 8.42b, Nicol ya trl13.22, Uradium ya trl17.19 na metal ya trl1.9 Kwa kifupi tangu mwaka 1998 chini ya CCM hii hii ya watu hawahawa Tanzania imepoteza kiasi cha tsh trl 132.56 kwa kiwango cha chini na trl 200.9 kwa kiwango cha juu kwenye metali pekee! Hujuma hizi na Yote haya yamefanyika bila uwepo wa Mbowe, wewe Lissu,Lemma, Heche, Ryoba, Mwalimu,Mashinji,Prof Safari, Zitto, Dk Slaa ,Mwambe, Millya, Mnyika,Sugu,Msigwa,Kubenea,Bulaya,Matiko,wala Halima Mdee waliotupiga ni hawahawa wanaojiita eti Wazalendo Wa Taifa hili leo baada ya wizi Wa kupindukia tena kwa muda mrefu.
Hebu Watanzania fikirini kwa Upande wa Makinikia peke yake serikali hii ya CCM imetupotezea mapato kati ya tsh trl 149-253.8.
Sikia hii thamani ya madini yote (Metali/madini) yaliyopotea kati ya mwaka 1998 hadi sasa chini ya chama hiki cha Mapinduzi ni kati ya tsh trl 188.59-380.99 hii ni kwa mujibu Wa " Tume za Makinikia za CCM " Lazima tuelewane hapa hakuwepo Mbowe,Lissu,Zitto ,Mnyika wala Heche walikuwepo hawahawa malaika wa nuru, Lissu tusamehe tunaostaili adhabu ni sisi sio wewe sisi ndio tumelifilisi Taifa hili toka kwenye gesi kule Mtwara hadi kwenye madini, toka kwenye nishati hadi kwenye maliasili.
_____________________________
Huwezi amini mwaka mmoja leo Mbunge Wa Kigoma Mjini Mh Zitto Zuberi Kabwe anaripoti kuwa Acacia wamefungua kesi Katika mahakama ya Usuluhishi Wa kibiashara ya Mjini London ( LCIA Na.UN173686 Na.87 ) wakitutaka tulipe fidia ya tsh trl 4.5 kwa kuzuia makontena yao 277 yenye thamani ya tsh 829.4b Kinyume na mkataba baina yao na Serikali yetu,
Kama tutalipa tsh trl 4.5 ( Good forbid ) kwa makontena yenye thamani ya 829.4b tutapata hasara ya kujitakia ya tsh trl 3.671 pesa ambayo ingeweza kujenga reli ya SGR kutoka Isaka Shinyanga Tanzania hadi Rusumo /Kigali Rwanda takribani km 371 tusamehe kaka Lissu kama tungekusikiliza pengine haya yangetuepuka ila hatuna namna tutalipa pesa ipo ya kutosha japo Wenyeviti wa kamati za bajeti wanajiuzulu kwa madai kuwa bajeti zao hazitekelezeki,
Rudi nyumbani kaka uendelee kulitetea Taifa lako bila chembe ya unafiki kama ulivyofanya tangu miaka ya 1990's hadi sasa na kama ungekufa basi ingetuchukua miaka mingine 100 kumpata Lissu mwingine, Mungu afanye wepesi upone haraka, Watanzania tunaumia sana tunapoona binadamu mwenzetu anakaza mguu wake kwa kutumia spana za magari hakika inauma
" Tanzania ni kubwa kuliko CCM & CHADEMA tena ni kubwa zaidi kuliko Rais Magufuli, Mbowe na wewe Lissu "
____________________________

Emmanuel Allute
alluteemmanuel@gmail.com

Asia Msangi-Ukonga weka √
Yonas Masiaya- Monduli weka √
 
Baada ya Nyerere,Lissu ndio mwanasiasa mwenye uwezo wa kuona mbali kwa faida ya Taifa.

Baada ya Nyerere,Lissu ndio mwanasiasa mwenye uwezo wa kukemea watawala bila haya na bila woga.

Inawezekana wako wengine,ila maadam walichagua kukaa kimya,basi hawawezi kuhesabiwa.
 
Umeongea vema mtoa mada lisu
Aliona mbali ila kwa kujifanya wajuaji tutaumia sisi watu was chini ngoja kila kitu kipandishiwe kodi ili kulipa madeni ndio akili zitakaa sawa
UTAFITI HURU UMEBAINI KWAMBA MH TUNDU LISSU NDIYE MWANASHERIA BORA KABISA KUWAHI KUWEPO KWENYE ENEO LA MAZIWA MAKUU TANGU KUUMBWA KWA MBINGU NA ARDHI .
 
Lissu wasalaam!
____________________
Jana mwaka jana majira ya saa saba mchana bila huruma ukamiminiwa risasi kama mvua ya mawe mithili ya gaidi la ISIS, huku wauwaji wakijisemesha " maliza kabisa huyo msaliti Wa Taifa, huyu anatumiwa na mabeberu " huwezi amini magazini nzima ya SMG yenye risasi 30 ikaisha wakaanza nyingine nayo zikatoka risasi 8 mfululizo nakufanya jumla ya risasi 38 zilizoelekezwa kwako huku 16 zikikupata,Ukalia kwa uchungu kinyaturu kama kangaroo anayejilaza ili kuchinjwa ukasema " Aghwaa chuu mumbuanghaa ndendee "_ yaani jamani ndugu zangu mbona mnaniua bure lakini hakuna aliyejali wala kukusikiliza,Ni wewe unayemfanya mkuu Wa nchi hii asitawale kwa amani na Utulivu, eti haiwezekani uwaambie waTanzania kuwa wamepata. " rais Wa Ajabu " kuwahi kutokea, eti haiwezekani umuite Rais " dikteta Uchwara " eti haiwezekani useme ACACIA hii ya mabeberu wezi haitatulipa jumla ya US$ 190b yaani US$ 40b ya malimbikizo ya kodi na US$ 150b ya faini sawa na jumla Tsh trl 418 hii nikwa mujibu wa mamlaka ya mapato Tanzania ( TRA ) achilia mbali zile tsh trl 108 za Makinikia zinazofanya jumla ya fedha yote tunayowadai wezi wa Acacia tangu mwaka 1998 tsh trl 526 sawa na US$ billion 239 huku wao Acacia wakimiliki mtaji wa US$ billion 0.21581 sawa na tsh trl 4.75 mwaka 2017/18 kwa lugha tulikuwa tunawadai karibu mara 1,100 ya walichonacho,Na kama tutalipwa pesa hiyo inaweza kugharamia bajeti ya Tanzania kwa miaka 16 mfululizo yaani hadi 2034 tule tunywe tulale bila kodi yeyote.Lissu wewe ulikataa hili ukasema haiwezekani ukaitwa msaliti wa Taifa letu hakika kaka tusamehe sisi tu wakosaji kwako na kwa Mungu pia.
____________________________
Wakati wananchi wanajiandaa kupokea Noah kwa kila mmoja na tayari wasio madereva walishaanza kujifunza udereva, Haiwezekani wewe useme Acacia ya mabeberu hawatatulipa hata mia moja zaidi sana watatushtaki kwenye mahakama za usuluhishi Wa kibiashara (Arbitration court) na lazima tutashindwa kwani wezi hawako Acacia wako ndani ya CCM kwani tayari walishasaini mikataba ya kuliumiza/kuliangamiza Taifa hili na tusipokuwa makini tutawalipa fidia kwa matrioni, Sisi tukashupaza shingo kwani tuna ma-Prof Wa sheria kibao akiwemo Prof nguli wa sheria Palamagamba Mwaluko Kabudi lazima tulipwe, eti haiwezekani wewe uwaambie waTanzania wampinge Rais mteule Wa Mungu Mh Dk John Joseph Pombe Magufuli eti kwamba asipodhibitiwa mapema hataishia kwa wanasiasa pekee bali makundi mengine kama Wafanyabiashara,Wakulima,Wavuvi,Wafanyakazi,Maaskofu,Wachungaji, Mapadre, Wanahabari,Wabunge, Wanazuoni, Matajiri/ Masikini,Wawekezaji Wa inje na ndani nao wajiandae kisaikolojia kwani kiama chao nao chaja kwani hakuna aliyeko salama.Haiwezekani useme Ndege yetu ya bombardier Q 400 imekamatwa huko Canada kwa deni la kujitakia.Leo kila ulichosema na kutuonya tukakuita msaliti kimetimia vilevile kama ungekufa tungekuja kwenye kaburi lako kukuomba msamaha.
" Lissu heri tumbo lililokubeba miezi tisa na maziwa uliyonyonya"
____________________
HAKIKA HATUKUYAJUA YAJAYO Baada ya sakati la makontena ya Makinikia 277 yaliyosemwa yalikuwa na thamani ya tsh 829.4b kwa bei ya chini na tsh 1,438.86 kwa bei ya juu ya soko, Nadhani unakumbuka uliwaacha wale walioitwa wanaume wakiwa ni timu ya watu 14 baadae wakaongeza vyombo vingine 11 na kufikia jumla ya vichwa 25 wakiongozwa na Mwenyekiti mtendaji wa Barrick ProfJohn Thornton huku timu yetu ikiongozwa na Prof Palamagamba Mwaluko Kabudi bila kufahamu idadi wala majina ya wajumbe wengine ukimwacha AG, Baada ya kimya kirefu wakaja na maazimio 18 huku Barrick wakikubali kutoa fedha za kishika uchumba (Good faith) ya US$ 300M sawa na tsh 700b ambazo haraka tu mkurugenzi wa Acacia Gold Mine Bw Brand Gordon alikataa kuwa hawezikulipa fedha zile bila kujali makubaliano yaliyofikiwa na Mwenyekiti Mtendaji Wa Barrick Gold Mine Prof John Thornton na timu yetu,Kimsingi Barrick ndio wanamiliki wa 63.9% ya Shea zote za Acacia, Huwezi amini hadi leo Tanzania hatujapokea hata mia licha ya Waziri Wa Katiba na Sheria kuliambia Bunge letu tukufu kuwa tumelipwa pesa nyingi ila hatuwezi kuzitaja hadharani wanaume wanaotudai wataziijia kitu ambacho ni mwendelezo wa Uongo Wa Waziri huyu mwenye elimu ya juu kabisa duniani it's simple tu kama wametulipa hiyo good faith mahakamani London wanatafuta nini? CCM mmeliumiza sana Taifa hili masikini kwa maslahi yenu .
_________________________________
Lissu kaka yangu umeonewa tu tangu mwaka 1988 wakati wewe hujaanza siasa hadi leo ni makontena kati ya 44,227-61,320 yametoroshwa sawa na hasara ya kati ya tsh trl 108 -180 kwa kiwango cha juu na cha chini, Kontena zote hizi zimepotelea mikononi mwa wana CCM/makada hawahawa waliokunyima hata fedha ya matibabu kwamba eti wewe unatumiwa na mabeberu kulihujumu Taifa hili kwa kutueleza ukweli kwamba makosa ni yetu Sisi tuliosaini hii mikataba pole sana kaka.
Kwa mujibu Wa tume za makinikia Tanzania imepoteza silver zenye thamani ya tsh 366.66b,Copper ya trl 2.86, Surphure ya 277.393b, Chuma cha tsh 368.2b,Zinc ya 8.42b, Nicol ya trl13.22, Uradium ya trl17.19 na metal ya trl1.9 Kwa kifupi tangu mwaka 1998 chini ya CCM hii hii ya watu hawahawa Tanzania imepoteza kiasi cha tsh trl 132.56 kwa kiwango cha chini na trl 200.9 kwa kiwango cha juu kwenye metali pekee! Hujuma hizi na Yote haya yamefanyika bila uwepo wa Mbowe, wewe Lissu,Lemma, Heche, Ryoba, Mwalimu,Mashinji,Prof Safari, Zitto, Dk Slaa ,Mwambe, Millya, Mnyika,Sugu,Msigwa,Kubenea,Bulaya,Matiko,wala Halima Mdee waliotupiga ni hawahawa wanaojiita eti Wazalendo Wa Taifa hili leo baada ya wizi Wa kupindukia tena kwa muda mrefu.
Hebu Watanzania fikirini kwa Upande wa Makinikia peke yake serikali hii ya CCM imetupotezea mapato kati ya tsh trl 149-253.8.
Sikia hii thamani ya madini yote (Metali/madini) yaliyopotea kati ya mwaka 1998 hadi sasa chini ya chama hiki cha Mapinduzi ni kati ya tsh trl 188.59-380.99 hii ni kwa mujibu Wa " Tume za Makinikia za CCM " Lazima tuelewane hapa hakuwepo Mbowe,Lissu,Zitto ,Mnyika wala Heche walikuwepo hawahawa malaika wa nuru, Lissu tusamehe tunaostaili adhabu ni sisi sio wewe sisi ndio tumelifilisi Taifa hili toka kwenye gesi kule Mtwara hadi kwenye madini, toka kwenye nishati hadi kwenye maliasili.
_____________________________
Huwezi amini mwaka mmoja leo Mbunge Wa Kigoma Mjini Mh Zitto Zuberi Kabwe anaripoti kuwa Acacia wamefungua kesi Katika mahakama ya Usuluhishi Wa kibiashara ya Mjini London ( LCIA Na.UN173686 Na.87 ) wakitutaka tulipe fidia ya tsh trl 4.5 kwa kuzuia makontena yao 277 yenye thamani ya tsh 829.4b Kinyume na mkataba baina yao na Serikali yetu,
Kama tutalipa tsh trl 4.5 ( Good forbid ) kwa makontena yenye thamani ya 829.4b tutapata hasara ya kujitakia ya tsh trl 3.671 pesa ambayo ingeweza kujenga reli ya SGR kutoka Isaka Shinyanga Tanzania hadi Rusumo /Kigali Rwanda takribani km 371 tusamehe kaka Lissu kama tungekusikiliza pengine haya yangetuepuka ila hatuna namna tutalipa pesa ipo ya kutosha japo Wenyeviti wa kamati za bajeti wanajiuzulu kwa madai kuwa bajeti zao hazitekelezeki,
Rudi nyumbani kaka uendelee kulitetea Taifa lako bila chembe ya unafiki kama ulivyofanya tangu miaka ya 1990's hadi sasa na kama ungekufa basi ingetuchukua miaka mingine 100 kumpata Lissu mwingine, Mungu afanye wepesi upone haraka, Watanzania tunaumia sana tunapoona binadamu mwenzetu anakaza mguu wake kwa kutumia spana za magari hakika inauma
" Tanzania ni kubwa kuliko CCM & CHADEMA tena ni kubwa kuliko Rais Magufuli, Mbowe na Lissu "
____________________________

Emmanuel Allute
alluteemmanuel@mail.com

Asia Msangi-Ukonga weka √
Yonas Masiay- Monduli weka √
Kwanini Kama lissu anajua/alijua Hawa accacia Ni wezi akakubali kuwa mwanasheria wao akafanya kazi ya uwakili kuwatetea.SIASA NI MCHEZO MCHAFU NDUGU YANGU..LISSU NANI BWANA WAMETESWA WAKINA YESU AMBAO UWONGO WALA DHAMBI HAIKUWAHI KUONEKANA MDOMONI MWAKE.ATAJIJUA MWENYEWE KAMA ALIKUWA HAJUI VIONGOZI WA DUNIA HII WOTE NI WADHALIMU NDIO AJUE SASA HIVI.MATATIZO HAYATAISHA KWA SERIKALI ZA WANADAMU LABDA UFALME MMOJA TU NDO UNAWEZA AMANI
 
FB_IMG_1536388814633.jpg
 
Acha wezi tuu, wakili anaweza kumtetea hata muuaji wa Mwanae.
 
Acha wezi tuu, wakili anaweza kumtetea hata muuaji wa Mwanae.
=unafki
Mtu mwema wa MUNGU asiyestahili kufa hafai kushirikiana na wezi,wauaji kwa namna yoyote ile
Kwa hiyo alichokitafuta alikipata.hizo ndizo sheria za asili za huu ulimwengu hata JIWE mwenyewe Kama Ni kweli alituma wauaji Basi na lake linafuata.GOD is wise and knowing he will inform every soul what they used to corrupt.sina Shaka na hilo
 
Back
Top Bottom