Lissu: Tunaogopa kukaa mbele maandamanoni, tutapigwa na Polisi

hata Nyerere alisema nia ya kumpiga tunayo na uwezo tunao lakini yeye alikaa Ikulu waliokufa ni kaka zako na wadogo zako, sasa nijibu kwa nini Nyerere akwenda front na yeye ndie aliyekuwa Jemedari mkuu
 
Vyombo vya habari leo asubuhi, vimemnukuu mmoja wa viongozi wa chadema Mh Tundu Lissu akisema kuwa wao wanaogopa kukaa mbele kwenye maandamano kwa sababu eti polisi watawapiga sana! My take: sasa wanawahamasisha watoto wa watu wao hawaendi kwani wenzao wana roho za chuma na miili ya chuma!? Heri waandamanaji mjitambue. Sio wenzenu hao. Source Star Tv, tuongee magazeti.

anada.jpg

DK+SLAA+PIX+NO+1.JPG

1511415_orig.jpg
 
Vyombo vya habari leo asubuhi, vimemnukuu mmoja wa viongozi wa chadema Mh Tundu Lissu akisema kuwa wao wanaogopa kukaa mbele kwenye maandamano kwa sababu eti polisi watawapiga sana! My take: sasa wanawahamasisha watoto wa watu wao hawaendi kwani wenzao wana roho za chuma na miili ya chuma!? Heri waandamanaji mjitambue. Sio wenzenu hao. Source Star Tv, tuongee magazeti.
Kama wao watabondwa wakishiriki maandamano basi wawaweke wake zao na Watoto wao wawawakilishe nawakae mbele kuongoza maandamano
 
Vyombo vya habari leo asubuhi, vimemnukuu mmoja wa viongozi wa chadema Mh Tundu Lissu akisema kuwa wao wanaogopa kukaa mbele kwenye maandamano kwa sababu eti polisi watawapiga sana! My take: sasa wanawahamasisha watoto wa watu wao hawaendi kwani wenzao wana roho za chuma na miili ya chuma!? Heri waandamanaji mjitambue. Sio wenzenu hao. Source Star Tv, tuongee magazeti.
Wapinzani ni viongozi wanaowaonyesha njia ili kuwaokoa nyie malimbukeni na walala hoi. Mkiona wanawadanganya basi wapuuzeni na endeleeni na umaskini wenu. Kwani wao wanapungukiwa nini?
 
Heri wapigwe wananchi wa kawaida, maana kwa viongozi wa cdm wanaweza kuuliwa na polis maana wanatafutwa sana! Kiasi fulani kuna ka ukweli katika kauli yake!
Kweli mkuu kesho tuandamane lakini mbele akae mkeo na watoto wako pamoja na wewe.
 
Wapinzani ni viongozi wanaowaonyesha njia ili kuwaokoa nyie malimbukeni na walala hoi. Mkiona wanawadanganya basi wapuuzeni na endeleeni na umaskini wenu. Kwani wao wanapungukiwa nini?
Nani amekudanganya wezi tu hawa wapinzani uchwara kazi yao kudanganya watu hawana cha maana hata kimoja.
 
Vyombo vya habari leo asubuhi, vimemnukuu mmoja wa viongozi wa chadema Mh Tundu Lissu akisema kuwa wao wanaogopa kukaa mbele kwenye maandamano kwa sababu eti polisi watawapiga sana! My take: sasa wanawahamasisha watoto wa watu wao hawaendi kwani wenzao wana roho za chuma na miili ya chuma!? Heri waandamanaji mjitambue. Sio wenzenu hao. Source Star Tv, tuongee magazeti.

Mkuu Ritz
Hivi kuna mpigania uhuru anaogopa kifo? Hawa jamaa na wapiga deal tu hawana lolote yaani wanawatoa wenzao kikoa masikini familia ya Mwangosi; hivi makamanda Mohamedi Mtoi; Mwita Maranya; Yericko Nyerere; Mikael P Aweda bado hawajafunguka macho tu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom