M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,020
Samia kadondoshea tone la petrol kwenye majivu ya moto - akae tayari tayari!"Samia Suluhu Hassan has finally revealed her true colors. It's Magufulism without Magufuli & it's unacceptable. We can't, & we won't, accept the continuation of the illegal ban on lawful political activity imposed by the departed dictator. She'd be denounced & openly opposed!"- Tundu Lissu
Akiwasikiliza wahafidhina ndani ya chama chake, anaweza kuwa na wakati mgumu sana wa kuendesha nchi kwani atahujumiwa na makundi yanayousaka urais 2025 ndani ya chama chake, atapigwa pressure na upinzani na wanaharakati watampatisha taabu sana.