Brazaj, nguvu ya Umma (People's power) isikilizie mbali! Kumbe binadamu ni kiumbe hatari na cha kutisha akiamua kubadilika.Goli la mkono walijua kweli ndugu? Unadhani Mbowe kushindwa Hai walikuwa wadhoofu huko kuliko Nkasi?
Sijui Hai ilikuwaje, lakini, kama scenario ingekuwa kama ya Nkasi, Hai pangewaka moto. Mahali askari na wajeda wanainua mikono ni situation ya mzaha hiyo?
Unakumbuka ya (Tunisia/Algeria?) yule kijana baada ya kujiteketeza moto wa petroli?
Ogopa sana 'people's power'!