Lissu rudini ubaoni, Majukwaani hakutamng'oa CCM

Lissu rudini ubaoni, Majukwaani hakutamng'oa CCM

Gazeti la Tanzania Daima liko wapi,liliwasaidia sana CDM.

Kokote liliko gazeti tu achilia mbali 1 halitoshi.

CDM kama chama ilipaswa na bIla kuchelewa kutoa kauli thabiti kuwaunga mikono wote tunaotokea kuwa nao upande mmoja

CDM haipaswi kujikongoja. CDM inapaswa kuongoza mapambano.

Habari na propaganda hakuwezi kuwa by the way (yaani alimradi).
 
Nyomi si kigezo pekee au kikuu cha ushindi kwenye uchaguzi,kimejaribiwa ikashindikana miaka kadhaa eg kipindi cha Lowassa badilisheni style na mbinu za ushindi.
 
Nyomi si kigezo pekee au kikuu cha ushindi kwenye uchaguzi,kimejaribiwa ikashindikana miaka kadhaa eg kipindi cha Lowassa badilisheni style na mbinu za ushindi.

Kama tume ya uchaguzi ni chini ya adversary na goli la mkono linaruhusiwa, hata uwe na nyomi ya nchi nzima hushindi ng'oo!

Kutambua wizi ni sehemu ya mchezo na kuwa mwenye kulia lia ni kuonyesha upoyoyo bure. Kulitambua Hilo ni hatua njema sana kwenye kujizatiti na kujipanga strategically kupata ushindi.

Pa kuanzia ni kuweka uhai haswa: "habari na propaganda."

Hiki kitengo kingewekwa moja kwa moja chini ya TAL, Mwabukusi, Mdude au hata kupata huduma za Dkt. Slaa; ingependeza pia.

Nyomi isiyokuwa na tija kwenye hatima ya maamuzi haina maana yoyote.
 
Kama tume ya uchaguzi ni chini ya adversary na goli la mkono linaruhusiwa hara uwe na nyomi ya ncho nzima hushindi.

Kutambua wizi ni sehemu ya mchezi na kulia lia ni kuonyesha upoyoyo ni hatua njema kwenye kujizatiti kujipanga strategically.

Pa kuanzia kuweka uhai habari na propaganda. Hili kitengo kingewekwa Moja Kwa Moja chini ya TAL, Mwabukusi, Mdude au hata kupata huduma za Dkt. Slaa ingependeza zaidi.

Nyomi isiyokuwa na tija kwenye hatima ya maamuzi Haina maana yoyote.
Mzee Cleopa Msuya majuzi amekiri wazi kuwa ccm wanategemea dola kubaki madarakani. Otherwise hawanatoshi!
 
Huu muda kumbuka umeanza kuhesabu tqngia 1995 na wenyewe wakijinasibu wangalipo sana hata miaka 100+.
Inaweza kuchukua hata miaka 200... Wananchi wakijitambua mapema itakuwa mapema zaidi
 
Mzee Cleopa Msuya majuzi amekiri wazi kuwa ccm wanategemea dola kubaki madarakani. Otherwise hawanatoshi!

Hilo si jipya Kwani CCM yote inalijua na hadi vijijini huko, wanajua. Tatizo liko kwenye kuwashawishi majizi haya kuutema mzigo.

Wanatema mzigo kwa pressure ipi?
 
Inaweza kuchukua hata miaka 200... Wananchi wakijitambua mapema itakuwa mapema zaidi

CCM wangependa officially tusubiri kama miaka 100. Kwa hakika hata kwao ikiwa ni 200 itapendeza zaidi ..
 
Hilo si jipya Kwani CCM yote inalijua hilo na Hadi vijijini huko wanajua. Tatizo liko kwenye kuwashawishi kutema mzigo. Wanatema Kwa pressure ipi?
Elimu ikikolea pressure itakolezwa!
 
Lissu na Mbowe wanapigania kuongeza kura ili 2025 waongeze majimbo na kura ili wapate Mgao wa ruzuku zaid ya huu wa sasa

Mtaani kugumu kila biashara mgumu

ukipata fursa ya kulamba 2 billion ya ruzuku kila mwezi si haba kwa gharama ya porojo tu jukwaani
 
Ni kweli tunahitaji mbinu mpya bila kuacha za zamani kama maridhiano uku mmoja akisapot na mwingine akikataa apo mtawachanganya CCM watashindwa waende nanani na nani wamuache uko mbele inabidi Mbowe na Lissu waonyeshe mgawanyiko ili kubeba kila mmoja kundi lake mwisho wa siku wataaungana na kuwaacha CCM midomo wazi. Swala la kupenya kwenye vyombo vya habari ilo ni gumu kutokana na kilanja Nape kuchagulia vyombo ni habari ipi irushwe ipi iiachwe kwa mazingira ayo itabidi kwenda na social media ili kufikisha ujumbe kwa jamii,
Kumbuka zoezi la kutenganisha dini kubwa na serikali limefanikiwa kwa %nyingi lakini pia kitendo cha kwaacha wenye Watanganyika kudai Tanganyika kupitia Katiba Mpya ni mbinu kali ambayo CCM wameshindwa kuisoma na kuielewa kutokana na Adv.Mwabukusi, Dr.Slaa na Mdude kuongoza kikosi kinachoimega Ccm Katikati uku TEC wakipitia upande wa pili kumalizia kipande cha wanaCCM kuanzia serikalini mpaka kwenye vyombo vya Usalama.
Kinachotakiwa
1.CHADEMA kujijenga kwanza kwa kuunda vikosi kasi vya kulinda kula kila kituo wasiopungua 1000 kwa kila kituo.

2.Kuimarisha kikosi cha propaganda kama mtoa uzi alivyoeleza

3.Kupokea watu wenye ushawishi kwenye CHAMA kwa kusudi maalumu bila kuangalia mazingira yao labda kama ni wezi au wamehusika moja kwa moja kwenye mkataba wa bandari.

4.Kujenga ukaribu na viongozi wa nchi zilizotuzunguka kama Kenya, Uganda, Rwanda, Malawi na nyingine zenye ushawishi Jumuhia ya Madora

5.Kuwasemea wakulima na wafanyabiashara ambao wanaumizwa na serikali hii bila kusahau watu wa kanda ya Ziwa ambapo kuna wapiga kura wengi.

Mengine wanajua siwezi kuyaweka wazi ila aya naona yanapungua wakifanikiwa apo CCM itabaki kwenye tawi linalosubiri kukatwa.
 
Mifumo yote imeunganishwa Kwa Cheo Cha urais, na Urais hauhojiwi mahakamani.

Bila kufungua lock hiyo, CDM msitupeleke huko.

NB: Tuhakikishe bila Tume HURU ya UCHAGUZI na KATIBA mpya uchaguzi haufanyiki.
 
Mrema alipata nyomi kuliko wanayoipata CDM sasa na Bado hakushinda Urais,

Sababu kuu ni Bunge la CCCm lilijibadili na kuwa Bunge la Katiba 1977.

Bado Hadi Leo wanaamini na SHERIA inaweka njia zote Rais atoke CCCM!!

Tusipolitatua Hilo kabla ya Uchaguzi huu, basi tuwaheshimu vijana waliochoma kadi za kupigia kura baada ya kuona kura zao zilipuuzwa na mshindi akapewa mwingine 2015.

Binafsi, niliwaona CHADEMA wabinafsi sana baada ya RASIMU ya WARIOBA kutupwa Kapuni, nao wakafumba macho na kukubali kuingia uchaguzi Ule 2015 Kwa Katiba hii hii.
 
Back
Top Bottom