Uchaguzi 2020 Lissu: Nikichaguliwa, ndani ya siku 100 za kwanza masheikh wa Uamsho wataachiwa huru

Wahuni tena ambao hawajaenda shule.
 
CCM ni laana
Kama laana ni maendeleo haya yanayo okena nchi nzima basi sawa ! Maana hata yule bwana ameanza kusema atajenga barabara za vijijini na daraja la ziwani Victoria kutoka kisorya hadi ukerewe ! Laana oyeee !

Povu ruksaaa !
 
Wakoloni wamefanya yote haya na kuzidi,, umewai kujiuliza kwanini bado tuliwataka waondoke?
 
Wakoloni wamefanya yote haya na kuzidi,, umewai kujiuliza kwanini bado tuliwataka waondoke?
Waliyafanya hayo kwa maslahi yao ! Walijenga reli ilikufanikisha uchukuzi na wizi wa mali zetu. Walijenga shule kufundisha matarishi na vibaraka. Walijenga barabara kufanikisha uchukuzi na wizi wa mali zetu ! Europe heavily underdeveloped African countries (colonies) ! It is crystal clear! Halafu eti yule mgombea anasema atarudisha mahusiano 'mema' na wazungu ! Com'on dude ! Since when the white man is a friend of Africans?
 
Sasa kwani Lowassa aliutwaa urais? Mbona hujielewi jombaa?!!
 
Kwenj yeye ataibadirisha sheria? Hao mashehe mnajuaje kama kuna ukwei na walikua ni watu hatari? Mnadhani Rais yeye hajui au watu wa usalama hawajui? Yamkini mnaongela watu hatari sana bila ninyi kujua
 
Relax mkuu,wapo waliofanya mpaka mauaji na kesi zao zmekwisha,vp hawa masheikh ambao haijulikan hatima yao???
 
Hahaaaa
 
Wanaccm woòoteeee
Someni Waraka wa Mtume Paulo kwa Wakolosai
Sura ya tatu , aya ya 25

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zetu wanateseka miaka mingi magerezani na wanafanyiwa vitendo viovu. God help us!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…