othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 5,668
- 9,055
Jifunzeni uarabuni huko waislamu wanavyouzana kwa marekani, list ni ndefu kuanzia sadam, Osama, Ghadafi na wengine wengi wameuzana na kuuawa
Hawa wa bakwata ukiwapa ubwabwa wanatulia tuliiii kama maji mtungini
Hawa wa bakwata ukiwapa ubwabwa wanatulia tuliiii kama maji mtungini