Uchaguzi 2020 Lissu: Nikichaguliwa, ndani ya siku 100 za kwanza masheikh wa Uamsho wataachiwa huru

Mama anakwenda vizuri. Bila shaka hata MATAGA wanakiri hilo maana Mama = JPM.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Mama aliposema yeye is equal to mwendazake, alitumia hekima sana kwa wafuasi wa mwendazake.

Matendo sasa ndio yewaacha midomo wazi
 
Jakaya kawaacha humo ndani na walikamatwa kipindi chake na yeye ni muislamu mwenzao wewe na upuuzi wako hujui hta kuomba kura unafikiri ndiyo njia ya kupatia kura hiyo? honi sasa zanzibar imetulia? wana kesi ya kujibu hao usifikiri watu hawajui wewe pekeyako ndiyo hujui au unajua akini unajitoa akili tu
Kwamba?
 
Back
Top Bottom