mukaruka mzee
JF-Expert Member
- Jan 22, 2020
- 970
- 483
Ndicho kitu ninachosema kuwa hilo ni la Mahakama na SIYO la Executive kama anavyodai huyo ndugu mwingine. Tuiache Mahakama ifanye ya kwake hayo ya Lissu yatakuwa "ni kuingilia mhimiri mwingine".DPP kaambiwa na mahakama ama akamilishe uchunguzi ndani ya mwezi mmoja, ama aahirishe mashtaka na watuhumiwa waachiwe mpaka DPP atakapokuwa tayari.
Hiyo ilikuwa September 14 2019.
Mahakama imesemanhivyo September 14 2019.
Hata mahakama inaona hoja anayoisema Tundu Lissu.
Kwa sababu sasa hivi watuhumiwa wanapigwa danadana huku wako ndani miaka nenda rudi kwa style ya "uchunguzi unaendelea".
Wanawapambania magaidi wenzao"Nikishinda... na kule Bara nna uhakika atashinda Lissu... atanrudishia watu wangu" Maalim Seif. Hao Masheikh hakuna mtu ndani ya sisiemu anawazungumzia!
Condition ni nini MKuu??? Unajua Suala wanalozungumziwa linahitaji Level fulani ya Mamalaka; Ndio maanakuna COndition kwamba "Nikiingia madarakani" Sasa Je ameingia? Refer ishu ya Babu Seya, Lowasa alisema, lakini mwisho wa siku aliyetekeleza ni aliye na mamlaka.Lowasa aliiahidi hivyo hivyo ktk uchaguzi wa mwaka 2015 Lisu naye tena mwaka huu 2020...kuna jambo la kutafakari
Anaogopa vibayaHivi hii hoja Magufuli aliwahi kuijibu popote?
Siku 100 za nn inatakiwa siku unaapishwa na watu waachiwe mara mojaView attachment 1602807
Mgombea urais Tundu Lissu ameendelea kusisitiza na kumtaka Rais Magufuli awaachie mara moja mashekhe wa Uamsho na mahabusu wengine waliofungwa kwa hila.
Tundu Lissu ameahidi ndani ya siku 100 za kwanza atakapo ingia madarakani ataawachia mashekhe wa Uamsho kwani kesi yao haina msingi wowote.
Lissu amewauliza waislam wa nchi hii kwa nini hawapazi sauti kuhusu unyama wanaofanyiwa waislam wenzao? Hapo hapo akawaomba watumie kura yao vizuri katika uchaguzi huu ili ndugu zao waweze kuachiwa huru.
Tundu Lissu ameshangaa iweje mashekhe hao wasipelekwe mahakamani kama kweli wana kesi ya kujibu ili mahakama iweze kuamua kama wamevunja sheria ama lah.
Hayo maamuzi ya mahakama aliyoahidi Lissu kuyaingilia ni yapi hayo?...ilihali hao masheikh hata bado hawajahukumiwa?Nilipinga mahakama kuingiliwa wakati Lowasa anaahidi kumuachia Seya na wanae.
Nikapinga kuingiliwa mahakama Magufuli alivyowaachia Seya na wanae.
Ninapinga kuingiliwa kwa mahakama Tundu anavyoahidi kuingilia maamuzi ya mahakama.
Sasa si aache mahakama iendelee kuwashikilia mpaka itakavyoonekana hawana haja ya kushikiliwa?Hayo maamuzi ya mahakama aliyoahidi Lissu kuyaingilia ni yapi hayo?...ilihali hao masheikh hata bado hawajahukumiwa?
View attachment 1602838
Shekhe mkuu wa dsm kazi kulamba miguu ya watawala tu hawezi kuwatetea wenzie
Sasa Lowassa aliunda serikali?? Angewatoa vipi katika mazingira alokuwa nayo? Yataje aliyoahidi mgombea wenu na kushindwa kuyatekelwza ndipo watu tutakuelewa maana yeye kaunda serikali na kila taasis hadi mahakama zilikuwa chini yake!Kwa nini kila uchaguzi wanasiasa wanatumia Mashek wa uamsho kama kete ya kutaka kura? kama hao mashee wana haki kwa nini hawapewi lkn ktk kila kipindi cha uchaguzi utasikiaa wagombea wana watumia kama kete....halafu uchaguzi ukiisha hakuna atakaye wazungumzia!! Lowasa aliiahidi hivyo hivyo ktk uchaguzi wa mwaka 2015 Lisu naye tena mwaka huu 2020...kuna jambo la kutafakari
Mahakama yenyewe ilishamwambia DPP akamilishe uchunguzi au awaachie watuhumiwa ndani ya mwezi mmoja.Ndicho kitu ninachosema kuwa hilo ni la Mahakama na SIYO la Executive kama anavyodai huyo ndugu mwingine. Tuiache Mahakama ifanye ya kwake hayo ya Lissu yatakuwa "ni kuingilia mhimiri mwingine".
Alishawahi sema kuwa hao ni magaidi enzi anagombea na lowasaHivi hii hoja Magufuli aliwahi kuijibu popote?
Hata mimi najiuliza swali hilo! Kama wamekaa miaka minane mahabusu,basi waliwekwa na JKM mwishoni mwa awamu ya Nne!Hivi waliwekwa ndani na nani kweli?
Kila la kheri kwake mama kwa kutekeleza hii dhamira ya LisuKama alivyoahidi siku Mia atawatoa na leo Samia kalitimiza Jambo hili kwa siku hizo hizo Kuna la kutafakari hapa
Kila la kheri kwake mama kwa kutekeleza hii dhamira ya Lisu