Lissu ni tishio, Vijana waliokuwa wanashikiliwa polisi kufikishwa mahakamani

Baada ya mwanasheria mkuu wa chadema kutembelea watanzania wanaoshikiriwa na police huku wakidaiwa kupigwa na kikosi kasi bila kupelekwa mahakani kwa zaidi ya siku kumi kinyume na sheria za nchi

Mh Lissu aliongea na vyombo vya habari na kutoa siku tatu kwa jeshi la police ama kuwapeleka mahakamani ama kuwaachia huru
Mh Lissu aliaidi hadi jumanne tarehe 13.9.2016, atafungua shauri mahakamani kuwashitaki vigogo wote wa jeshi la police

Police watangaza kuwafikisha mahakamani vijana haes siku ya j4. Na kila mtuhumiwa atarudishwa mahara alipokamatiwa

Viva KAMANDA Lissu.... Taifa linajivunia uwepo wako
kweli anatishia nafasi ya mbowe, yangu macho
 
Binafsi ningependa vigogo wa jeshi la polisi washitakiwe ili lisijirudie tena,wamezoea
 
Anajiamini, anapenda Sheria zifuatwe na anaziheshimu, anajua Sheria na haki za msingi za binadamu kisheria ndo maana haogopi kusema na kutoa Suluhu pale anapoona Suluhu sahihi kisheria ni ipi, baada ya Lissu kusema hayo Jeshi la polisi kupitia Wasemaji wake lilisema halifanyi kazi mashinikizo lakini kwa mtu mwenye uelewa wa Mambo atajuuliza Maswali ya Msingi tuu, Kwanini watu hao hawakupelekwa Mahakamani kwa Muda sahihi mpaka Lissu alivyoongea na vyombo vya habari ndo waseme watapelekwa Jumanne tena kwenye maeneo walipokamatwa.
Kulikuwa na umuhimu gani wa kuwakamata hao watu na kuwasafirisha Kwenda Dar na baadae kuwarudisha kwa ili wapelekwe Mahakamani walipokamatiwa?.
 
Baada ya mwanasheria mkuu wa chadema kutembelea watanzania wanaoshikiriwa na police huku wakidaiwa kupigwa na kikosi kasi bila kupelekwa mahakani kwa zaidi ya siku kumi kinyume na sheria za nchi

Mh Lissu aliongea na vyombo vya habari na kutoa siku tatu kwa jeshi la police ama kuwapeleka mahakamani ama kuwaachia huru
Mh Lissu aliaidi hadi jumanne tarehe 13.9.2016, atafungua shauri mahakamani kuwashitaki vigogo wote wa jeshi la police

Police watangaza kuwafikisha mahakamani vijana haes siku ya j4. Na kila mtuhumiwa atarudishwa mahara alipokamatiwa

Viva KAMANDA Lissu.... Taifa linajivunia uwepo wako
Sasa viva ya Nani hapo na Hali ndo utaratibu ndo upo hivo??!!
 
hakika singida mashariki wamepata mbunge na mtetezi wa wanyonge....

Hao anaowatetea ni wa jimboni kwake? Sijawahi ona hata siku moja Lisu akisimama popote iwe bungeni au nje ya bunge akizingumzia matatizo ya jimboni kwake au kuwatetea watu wa jimboni kwake !!!

Katika wabunge wa ajabu ni Tundu Lisu kutwa kudandia mambo yasyohusiana na jimbo lake.Nawapa pole waliomchagua
 
Wakati mwingine inabidi tuache siasa za kishabiki tuongee Kama watu tulio elimika. Kukubali Na kumpa credits mtu Ni uungwana bila kujali chama chako
Nani kakuambia Wote wa humu wameelimika? Nani kasema walumumba wanafunzwa? REMEMBER
Mtaji wa CCM ni ujinga
 
Back
Top Bottom