Nimemsikia Mheshimiwa Tundu Lissu akijibu swali Kama atagombea urais ktk uchaguzi ujao kukabiliana na Rais Magufuli, Chadema kwa sasa inapita ktk kipindi kigumu sana sababu Viongozi wote waandamiza wana kabiliwa na Kesi na wengine wako gerezani kwa kukiuka masharti ya dhamana akiwewo Yule jamaa uliesema kuwa Kama usingekuwa ujeuri wake wa kuamua upelekwe Nairobi usingenge. kuwa hai leo.Tumeshuhudia rafu nyingi sana kwenye chuguzi za marudio Nina hakika uchaguzi mkuu pia zitakuwepo.Nia ya uchaguzi in kuingia na kutoa upinzani sio kushiriki tu. Umedai kushiriki uchaguzi pasipo tume huru ya uchaguzi.
Nadhani sasa ungerudi jimboni kwako na kuachana na kufanya mahujiano na vituo vya.habari vya kimataifa Kama vile CNN ,Fox news , Sky news na Al jazeera.To me you are medically fit, only what you need is surgical follow up which can be arranged while you are in Tanzania,Please come back home or seek political asylum

Una hofu gani Mkuu? Ingekuwa bora wewe Ukakaa Kimya. Au Lisu kakutishia maisha?Nimemsikia Mheshimiwa Tundu Lissu akijibu swali Kama atagombea urais ktk uchaguzi ujao kukabiliana na Rais Magufuli, Chadema kwa sasa inapita ktk kipindi kigumu sana sababu Viongozi wote waandamiza wana kabiliwa na Kesi na wengine wako gerezani kwa kukiuka masharti ya dhamana akiwewo Yule jamaa uliesema kuwa Kama usingekuwa ujeuri wake wa kuamua upelekwe Nairobi usingenge. kuwa hai leo.Tumeshuhudia rafu nyingi sana kwenye chuguzi za marudio Nina hakika uchaguzi mkuu pia zitakuwepo.Nia ya uchaguzi in kuingia na kutoa upinzani sio kushiriki tu. Umedai kushiriki uchaguzi pasipo tume huru ya uchaguzi.
Nadhani sasa ungerudi jimboni kwako na kuachana na kufanya mahujiano na vituo vya.habari vya kimataifa Kama vile CNN ,Fox news , Sky news na Al jazeera.To me you are medically fit, only what you need is surgical follow up which can be arranged while you are in Tanzania,Please come back home or seek political asylum
Lissu hawezi kurudi Tanzania. Kwa hayo anayoyafanya ni lazima ata seek political asylum. Dawa ya mpumbavu ni kuwa mpumbavu zaidi yake.Nimemsikia Mheshimiwa Tundu Lissu akijibu swali Kama atagombea urais ktk uchaguzi ujao kukabiliana na Rais Magufuli, Chadema kwa sasa inapita ktk kipindi kigumu sana sababu Viongozi wote waandamiza wana kabiliwa na Kesi na wengine wako gerezani kwa kukiuka masharti ya dhamana akiwewo Yule jamaa uliesema kuwa Kama usingekuwa ujeuri wake wa kuamua upelekwe Nairobi usingenge. kuwa hai leo.Tumeshuhudia rafu nyingi sana kwenye chuguzi za marudio Nina hakika uchaguzi mkuu pia zitakuwepo.Nia ya uchaguzi in kuingia na kutoa upinzani sio kushiriki tu. Umedai kushiriki uchaguzi pasipo tume huru ya uchaguzi.
Nadhani sasa ungerudi jimboni kwako na kuachana na kufanya mahujiano na vituo vya.habari vya kimataifa Kama vile CNN ,Fox news , Sky news na Al jazeera.To me you are medically fit, only what you need is surgical follow up which can be arranged while you are in Tanzania,Please come back home or seek political asylum
kwa anayoyafanya sasahivi sidhani kama anania ya kurudi nyumbani huwezi kwenda nye kumtukana baba yako au familia yenu halafu ukishamaliza kuichafua ndiyi una kuja kupiga hodi humu ndani nimerudi bora akishamaliza upuuzi wake anaofanya atafute na mahala pa kuendeshea shughuri zake hatumpendi kabisaaaaa
msikariri aliyesema baba ndiyo muuaji ni nani unaushahidi ganiSio sawa kabisa
Kwa Jinsi walivyomfanyia kina BASHITE hakika bado wana hasira nae,kwa sasa TZ si salama kwa Lissu unless awe na ulinzi wa kufa mtu 24hrs!! Yaani Awe na CONVOY Full Equipped 24/7..kwa anayoyafanya sasahivi sidhani kama anania ya kurudi nyumbani huwezi kwenda nye kumtukana baba yako au familia yenu halafu ukishamaliza kuichafua ndiyi una kuja kupiga hodi humu ndani nimerudi bora akishamaliza upuuzi wake anaofanya atafute na mahala pa kuendeshea shughuri zake hatumpendi kabisaaaaa
Pole mwambie baba yako kuwa hii ni nchi ya watz wote. Afuate na kuheshimu katiba na sheria za nchi. Kinyume chake yeye na nyie wapambe wake ndio mtaifanya nchi iwe kama Sudan.kwa anayoyafanya sasahivi sidhani kama anania ya kurudi nyumbani huwezi kwenda nye kumtukana baba yako au familia yenu halafu ukishamaliza kuichafua ndiyi una kuja kupiga hodi humu ndani nimerudi bora akishamaliza upuuzi wake anaofanya atafute na mahala pa kuendeshea shughuri zake hatumpendi kabisaaaaa
tatizo mnachukulia kila kitu siasa katiba inafuatwa kila ktu kiko sawa shida yenu mmezoea vya kunyonga vyakuchinja vinawashinda fanyeni kazi acheni kulalamika hovyoPole mwambie baba yako kuwa hii ni nchi ya watz wote. Afuate na kuheshimu katiba na sheria za nchi. Kinyume chake yeye na nyie wapambe wake ndio mtaifanya nchi iwe kama Sudan.
Pole sana mtazamo wako wafanana na wa wale marafiki wa Ayub(wa biblia) walokuwa wanatumwa na shetaniNimemsikia Mheshimiwa Tundu Lissu akijibu swali Kama atagombea urais ktk uchaguzi ujao kukabiliana na Rais Magufuli, Chadema kwa sasa inapita ktk kipindi kigumu sana sababu Viongozi wote waandamiza wana kabiliwa na Kesi na wengine wako gerezani kwa kukiuka masharti ya dhamana akiwewo Yule jamaa uliesema kuwa Kama usingekuwa ujeuri wake wa kuamua upelekwe Nairobi usingenge. kuwa hai leo.Tumeshuhudia rafu nyingi sana kwenye chuguzi za marudio Nina hakika uchaguzi mkuu pia zitakuwepo.Nia ya uchaguzi in kuingia na kutoa upinzani sio kushiriki tu. Umedai kushiriki uchaguzi pasipo tume huru ya uchaguzi.
Nadhani sasa ungerudi jimboni kwako na kuachana na kufanya mahujiano na vituo vya.habari vya kimataifa Kama vile CNN ,Fox news , Sky news na Al jazeera.To me you are medically fit, only what you need is surgical follow up which can be arranged while you are in Tanzania,Please come back home or seek political asylum
Well analytical stuff Mkuu. Nakubaliana na wewe 100%. Juzi M/kiti wa UVCCM comrade Kheri James alitamka maneno makali sana dhidi ya watu kama Lissu ni adui wa nchi.Ushauri wako typically wehu
You need this man be murdered
And advocating willingness to context presidential tittle psychologically must people be prepared over a long period of time
Utakuwa chizi wewe
Kuhusu kutembelea vituo kikubwa ulimwenguni nihaki yake.
Acha ulimwengu ujionee maajabu ya Mungu kumponya mja wake. Anatangaza utukufu wa Mungu.
Anabaki na nihaki yake.
Siasa ni kazi.tatizo mnachukulia kila kitu siasa katiba inafuatwa kila ktu kiko sawa shida yenu mmezoea vya kunyonga vyakuchinja vinawashinda fanyeni kazi acheni kulalamika hovyo