Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Akiongea jana nje ya Bunge, amesema kwamba Mh Ndesamburo ambaye alikuwa ni Mbunge wa zamani wa Moshi mjini , alikuwa vzuri na kwamba hajawahi kushindwa katika uchaguzi kwa takriban chaguzi 3 mfululizo na kusema kwamba amekuwa kama Mheshimiwa willbroad Slaa (Katibu wa zamani wa CHADEMA) ambaye alishinda pia katika chaguzi zake katika Jimbo la Karatu kwa kipindi chote akigombea japo aliwaacha na kukimbia nje ya nchi na kujiunga na Adui yao mkubwa.
Source Muungwana mkuu
Rest In Peace Mh Philemon Ndesamburo.
Source Muungwana mkuu
Rest In Peace Mh Philemon Ndesamburo.