Lissu naye kuenguliwa

Lissu naye kuenguliwa

Status
Not open for further replies.

Plato

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
420
Reaction score
94
ni mpango wa kuwafratrate wabunge maarufu chadema baada ya Lema,anafuatia lissu kisha mnyika.yupo jamaa yangu usalama wa taifa alitumwa singida tangu ulipoanza uchaguzi arumeru.yupo huko hadi sasa.japo mashahidi wa ccm wnakimbia cortini,na wazi kwamba hakuna kesi,lakini lissu ataenguliwa.ajbu hakuna ccm hata mmoja atakayeenguliwa.subirini muone
 
kwa Lisu mumepotea njia kabisa... Hapo FAYA KUN FAYA
 
Hakuna kinachoweza kuzuia moto ulioanza, na hakuna mtu anayeichukuia cc leo, aje kuipenda kesho!
 
ni mpango wa kuwafratrate wabunge maarufu chadema baada ya Lema,anafuatia lissu kisha mnyika.yupo jamaa yangu usalama wa taifa alitumwa singida tangu ulipoanza uchaguzi arumeru.yupo huko hadi sasa.japo mashahidi wa ccm wnakimbia cortini,na wazi kwamba hakuna kesi,lakini lissu ataenguliwa.ajbu hakuna ccm hata mmoja atakayeenguliwa.subirini muone

Hao CCM majoha ya kijani wanavalia kwenye parking za kumbi za mikutano, aibu aibu kuvaa gwanda la kijani mtaani.... tafakari
 
Mmmh.....watu mtaanza na kuzusha vya uongo sasa ilimradi discussion tu iendelee!
 
Haya mambo ya wabunge ushindi wao kutenguliwa yasipuuzwe hata kidogo. Ni mkakati mpya kabisa wa kubaka Demokrasia unaoratibiwa na CCM chini ya Dola. Ni wazi hata majaji watalazimika kutii mikakati hii ikiwezekana hata kuupindisha ukweli. Ni safari chungu dhidi ya ustawi wa Demokrasia. We have to stand firm.
 
frustration ninazo mimi mlipa kodi, jinsi my hard earned cash inavyopotezwa, na muda wanaopotezewa wanamajimbo kwa kukosa wawakilishi
 
Kuna haja ya kuweka wazi kila uchagzuzi mdogo unatucost tshs ngapi na izo ela hutoka wapi?
 
CCM wameshindwa kwenye chaguzi sasa wanakimbilia kuchakachua mahakani.....maana huko hakuna nguvu ya umma....wizi mtupu.....ilaaniwe CCM
 
CCM wameshindwa kwenye chaguzi sasa wanakimbilia kuchakachua mahakamani.....maana huko hakuna nguvu ya umma....wizi mtupu.....ilaaniwe CCM
 
acheni waendelee kutunadi bila JASHO. CCM WEZI WA MALI YA UMMA
 
Meatu nako mbunge wa CHADEMA MESHACK OPULKWA nae ana kesi kuhusiana na election
 
Mbeleko ya CCM kwa CDM kuelekea 2015 bila kujijua.

Endeleeni aliyewapa huo mkakati kawamaliza!
 
Magamba ni majuha kweli kweli,hayana akili,subirini sasa m4c iwanyolee chupa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom