hawezi, haji, haiwi, hatakuwa, asahau....
1.hawezi pata ridhaa ya chama chake
2.msaliti no. moja wa taifa, akili ya Lissu ni sawa na Joyce kiria, mke wa kilewo....kutoa siri za ndoa nje
3.haaminiwi na vyombo vya usalama, so akigombea ataishia kupigiwa deki
4.mshari, ana visasi, mbishi na ataleta machafuko nchini tatizo lake na JPM binafsi kaliweka ni tatizo la nchi na kuumiza kila mtu
5.he never appreciates hata ufanye nini!..
na wewe unaruhusiwa kuota ni free of chargeHio itakuwa ni ndoto ya mchana[emoji1321]
Naunga mkono hoja, hata 2015, tulishangilia sana, sasa kuna watu wanalia na kusaga meno, lakini 2020, watakuwa wameishasahau na watashangilia tena na kuwachagua watu wale wale, chama kile kile.Hajui kuwa Watanzania ni wazuri sana kwa kushangilia na wepesi sana wa kukusahau.
Hii ndio Tanzania
Nafikiri watanzania hawajui maana ya msaliti na itachukua miaka mingi kujua msaliti ni mtu wa aina gani.Hiyo namba 2 nimeipenda!
Mungu wa mbinguni na ajibu dhihaka zako dhidi ya mja wake, usiondoke duniani bila kulipwa hizi dhihaka zako, amina.Lisu yupi sasa huyu mgonjwa asiyeweza kutembea na mikono iliyopinda au Lisu mwengine?
Simcheki ila kama ni huyo basi WATANZANIA hatujitambui kabisa.
Mbona tunaye tayari anayivuta?Atuhakikishie kama ataacha kuvuta sigara kali.
Tatizo kubwa ni kutokuwa na tume huru tu.Inawezekana matokeo huwa ni tofauti kabisa kama huko Zanzibar.Naunga mkono hoja, hata 2015, tulishangilia sana, sasa kuna watu wanalia na kusaga meno, lakini 2020, watakuwa wameishasahau na watashangilia tena na kuwachagua watu wale wale, chama kile kile.
Hii ni kwa sababu...
Watanzania ni ignorants au tumelogwa? October 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu?
Hivi Kweli Kuna Mtanzania, Mwenye Akili Zake Timamu, Anaweza Kuichagua Tena CCM?!. Kwa Lipi?!.
Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision, au ni Ignorance?
Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye Maendeleo au kwenye Ignorance?
Paskali
sifa za lissuLissu akigombea urais,kanda ya kati,kaskazin na kusini wanampa kura za,kutosha za kuwa Rais wa nchi,tutampa kwa kishindo
Ndio mara mbili kwa wiki, hii ni baada ya kutoka kifungoni.Raia Mwema linatoka jumatatu?!!!!