Lissu: Mtu/Watu wenye nguvu walipanga kuniua kwa namna ambayo ingekuwa fundisho kwa wengine

Hivi Chadema waliwezaje kuondoa ulinzi maeneo yote Yale? Hivi Chadema si ndio walimsindikiza hadi Nairobi? Kwanini hawakuchomoa madrip kwenye ndege akajifia, ile si ilikuwa nafasi ya pekee kukamilisha Mission? Hivi Chadema wanaweza kumshawishi mkuu asitoe kibali cha pesa za matibabu? Hivi hasa Chadema wamepeleka wapi CAMERA ya Kalemani halafu Kalemani akawaacha tu utadhani ni CCM kachukua? Kwanini Tundu Lisu aparamie serikali wakati wasiojulikana ni CHADEMA, huu si ni upotoshaji wa hali ya kiwango cha flyover? Inawezekana mbunge Mollel amekimbia wauwaji kwenda kwa watetezi wa wanyonge eti? Ngoja niendelee kutafakari!

Kuwasangizia chadema kwenye shambulio la Tundu inabidi kwanza uwe na Akili ndogo sana finyu mno kama za Dr mollel, Le mutuz, cyprian Musiba, Katibu mkuu wa CCM ndipo utengeneze propaganda kama hiyo lakini kwa mtu mwenye Akili timamu hata huko CCM hawezi kukubali kuwa sehemu ya propaganda ya kishamba kama hiyo
 
Hivi watu kwa wastani kwa sasa kuna mtu anafikisha miaka hata 100

Maana hawa wanaofikisha miaka 90 sasa mfano Mzee Mwinyi utotoni na ujanani kwao hakukuwa na Baga au kuku wa mwezi mmoja halafu unatafuna

Walikula mavitu ya porini sana hata chumvi au sukari hawakuijua iliishia kwa mkoloni

Sasa mtu ukimuua mwezako halafu una miaka zaidi ya umri uliobakiza kuishi utapata nini?

Hivi ni vichekesho sana, Mtu ukifariki kwanza hakuna anayependa kukaa na wewe unakimbizwa mochwari

Sasa hata magari au elimu au vyeo na majumba vyote unaacha hapa hapa duniani

Ndio maana wengine wakiacha pesa Bank ndugu wanaamua kumuandikia marehemu cheki halafu cash inaendelea kuwepo Bank, Sasa sijui hiyo check ukizikwa nayo utatolea Bank gani pesa
Nasikia kuna binasamu wao wakifa wanaenda kuwa viongozi wa malaika mbingini!!
 
Kama mnakumbukumbu, baada ya jiwe kuongea maneno hayo, ndio Mh TL alipopigwa risasi. Sasa nimeanza kuamini kitu. Ila acha tumruhusu Mungu awafunue!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli ni muuaji nadhani hata na kunywa damu za watu huwezi hata siku moja ukawa unatangaza kuuwa watu tangu unatawala alimwambia Sirro pale biafra awalaze watu ,kamwambia Shein angekuwa yeye angemlaza Seif, aliamulisha akina Mbowe wauwawe risasi ikamuishia Akwilina huyu huyu huyu asidhani Mungu amelala
 
Someone ambaye sitilii shaka maneno yake aliniambia the order was akifa, hakuna shughuli Bungeni na msimlete Dar mkimbizeni kijijini mkamzike as soon as possible. Nahofia kutaja majina ila kuna siku nitayataja. Itakapokuwa salama kwao, si kwangu maana mimi ni survivor wa 16 bullets.
 
Back
Top Bottom