Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,040
- 103,461
Okay nimekuelewa. Nadhani wapinzani wasishindane na "leadership personality" ya rais aliyeko madarakani. Watashindwa hapo. Wanaingia kwenye kesi nyingi bila sababu muhimu. Watafute njia iliyo bora zaidi ys kufanya upinzani.
Hiyo njia bora inapatikana wapi? Huko kwenye majukwaa ya siasa watu wanapigwa vibaya. Bungeni wabunge wakiongea mashangazi wao watapigwa. Huyo aliyeko madarakani ndio kajitengenezea mazingira hayo.