Lissu/Makinda Toa maoni Yakinifu

Lissu/Makinda Toa maoni Yakinifu

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
395647_401164663309197_2099775738_n.jpg
 
Ahaa .. diyo maana Makinda hakutoa adhabu yoyote juzi.
 
Hii imekaa kimahaba zaidi. nina wasiwasi na hawa wawili.
 
Wanasiasa wanapendana bana raiya andamaneni wao ndo ma bata kwakenda mbele dah.
Na wametokelezea apo hakuna cha edit wala nini dah.
 
[h=3]DUH SIASA HAWA SIMAHASIMU BUNGENI CHEKI SPIKA MAKINDA NA TUNDU LISSU WAKICHEZA MUZIKI[/h]
​
​
Spika wa Bunge, Anne Makinda akicheza muziki na Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu kwenye sherehe za kuuaga na kukaribisha mwaka mpya kwenye Viwanja vya Bunge Dodoma juzi usiku baada ya kuahirisha kikao cha Bunge hadi Aprili mwaka huu
​
 
Hiii picha inaonyesha Lissu yupo siriazi sana,angalia mdomo wake alivyo uweka.
 
DUH SIASA HAWA SIMAHASIMU BUNGENI CHEKI SPIKA MAKINDA NA TUNDU LISSU WAKICHEZA MUZIKI:mwaaah:WEWEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!! TAZAMA MKONO WA WA KUSHOTO WA TUNDU

ILA HAIJAELEWEKA NANI ALIKWENDA KUMCHOKOZA MWENZAKE


​
Spika wa Bunge, Anne Makinda akicheza muziki na Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu kwenye sherehe za kuuaga na kukaribisha mwaka mpya kwenye Viwanja vya Bunge Dodoma juzi usiku baada ya kuahirisha kikao cha Bunge hadi Aprili mwaka huu
​
 
Bado Kidogo Tu Tundu Atashuka Mkono Kwa Wowo la Madamu Spika..Na Muziki ukibadilika...Watakumbatiana...
 
Kuna nini hapa mbona wote wanaonekana km wamefunga macho!
 
sasa mama mbona unanisumbuaga hivyo?hivi kwanini unanibaniaga?....eeehhh nini tatizo?hebu ona tunavyoenda sawa hapa.cheki sasa.eeehh anna
 
DUH SIASA HAWA SIMAHASIMU BUNGENI CHEKI SPIKA MAKINDA NA TUNDU LISSU WAKICHEZA MUZIKI:mwaaah:WEWEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!! TAZAMA MKONO WA WA KUSHOTO WA TUNDU

ILA HAIJAELEWEKA NANI ALIKWENDA KUMCHOKOZA MWENZAKE


​
Spika wa Bunge, Anne Makinda akicheza muziki na Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu kwenye sherehe za kuuaga na kukaribisha mwaka mpya kwenye Viwanja vya Bunge Dodoma juzi usiku baada ya kuahirisha kikao cha Bunge hadi Aprili mwaka huu
​

Hii picha inastahili kuwa picha ya mwaka 2013 kwa Bunge la TZ
 
Nimeipenda hii. Siasa sio vita. Ni Game. Ila wote wamefumba macho kama wanaoneana aibu vile!!!
 
Back
Top Bottom