Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,217
Ni kupoteza tu muda kumshitaki Rais kwenye bunge lenye asilimia 80 ya wabunge kutoka CCM. Yeye apeleke hoja binafsi bungeni kupinga uteuzi wa rais na kutaka utenguliwe lakini si kumshitaki rais mwenyewe. Wabunge wa CCM na njaa zao watakubali anayewalisha aondolewe?
believe me akimshitaki hata kama bunge litaleta ndio mzee, bado ipo siku mwana CCM mkware ataona cha kutumia against mwenzake.Imagine El kapendezwa na hiyo Move akaona kuna uwezekano wa kucheza Zuma style.Sometime the enemy of your enemy is your friend.Hata ukombozi wa Africa ulipata msaada pale mabeberu walitofautina akimaslahi kwa africa kukosa hata ka uhuru tulicho nacho.Miradi mingi ya marekani leo hii hapa kwetu ni ushindani anaouona kwa mnyonyaji mwingine uchina.uchina imebidi wasamehe Tazara na wajenge ingine ili waweze pata sauti ktk shaba ya zambia.Marekani na wengine watatumiaje reli ya mchina kushindana naye ktk shaba.
kwanza hilo kosa lenyewe hata JK akitolewa urais akaingia mwezie ambaye anasema hawakukutana barabarani,hatakuwa na kesi km CCM itashinda, na pia atajenga kaprofile fulani kuw akwajaibishwa kwa vile hakupewa information nzuri na hivyo si kos alake la moja kwa moja.Ila kw aupande wa pili kuna mutual benefit.hujawahi ona kazini mtu aanpojikuta kuwa adui yake anahitajika kumfanya abaki kazini,na anajua kuna uwezekano huyo adui yake ni mtu mwema na hana taarifa za hizo chuki.Huyu jamaa anaweza jituma sana hakikisha adui yake ana survive ili aje mtumia.Hivyo hivyo kuna mambo upinzani watafaidika nayo kama wapo ktk mazingira ya kukamata fursa,hasa pale panapokuwa na mutuala benefit na makundi yenye nguvu ktk chama tawala.
Lissu akiicheza vizuri kuna watu ktk CCM watapima maji na kuanza support nyuma ya mlango, na wakiona inawezekana watmalizia hadharani.Lissu atakuwa kafanya kitu chema sana.wenye kugombea urahisi wanaweza msaidi aili kujijengea mazingira,wakidhani watabaki peke yao ila mwishowe hawatakuwa na sifa.