Lissu kuamua kujipambania mwenyewe kutokea gerezani imetufariji sana wengi, na hasa tuliosoma Kuba!

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,776
Reaction score
46,050
Hivi tujiulize kwa dhati tu:

"Hivi kuna yeyote ambaye angeweza kuwapelekea ule moto, kwa moyo na kwa namna ile kama huyu mwamba tena akitokea Konga?"

G0Uc0OiWEAAVf86-768x614.jpg

Si kuwa binadamu tumeumbiwa husuda, kuutaka u star na ikibidi hata kupitia migongoni mwa wengine? Hivi vya udalali navyo je? Kwani bei ya kumwuza Lissu mahakamani ingeweza kuwa kama "Trilioni" ngapi kwa mfano? Au yule ndugu mfanya biashara mkubwa, asiyekuwa mbangaizaji angeweza kuiacha hiyo fursa kama ingemdondokea kihasara hasara kwenye 18 zake?!

Ama kweli kwa vitendo simba katuonyesha: "vita vya kushinda, (hata kama unadhulumiwa) pigana na umejiridhisha mwenyewe! Aliimba Dr. Remmy (rip), "kipenda roho!"

Si kuwa hata kufikia tu hapa tulipo, wale wa ule upande mwingine siku zile wakikubaliana kwa kila jambo pande za Kisutu kwa roho zao za korosho, angalau kijasho chembamba kingali kinawatoka hata sasa kokote kule waliko?

Kwa hoja hizi za Polepole:

Angalizo la Polepole la Wahuni kuwa kila mahali linaonekana kutoeleweka bado. Hata upinzani, Sauti ya Tanzania, TLS, nk, ni dhahiri kuwa nako wapo!

"Lissu hapaswi kumwamini mtu kwenye huu mpambano."

Wahuni si watu wazuri!
 
Hivi najiuliza kama wasingeamua kuwaficha mashahidi wa gizani kama huyu kibaka Yericko Nyerere aliyesema hakuna kuhama chama.

Najiuliza Lissu angemfanyia cross examination huyu kibaka ingekuwaje.

Mijamaa iliyokwisha left group ingalipo mingi tu:

Angalizo la Polepole la Wahuni kuwa kila mahali linaonekana kutoeleweka bado. Hata upinzani, Sauti ya Tanzania, TLS, nk, ni dhahiri kuwa nako wapo!

Hata hii inayojaribu kumpiga dongo Polepole:

Gz6_7geXQAA12GM.jpeg

Ni muhimu kuiangazia vizuri.

Usalama ni mdogo!
 
Mijamaa iliyokwisha left group ingalipo mingi tu:

Lissu kuamua kujipambania mwenyewe kutokea gerezani imetufariji sana wengi, na hasa tuliosoma Kuba!

Hata Hii inayojaribu kumpiga dongo Polepole:

View attachment 3469617

Ni muhimu kuwaangazia vizuri.

Usalama ni mdogo!
Kwa mchakamkacha aliopelekwa wakili msomi kilaza Katuga sasa nimeelewa kwanini hii kesi ya kubumba waliamua watumie mashahidi wa gizani.

Hebu fikiria zile division 4 za policcm zingefanyiwa cross examination na Lissu hali ingekuwaje.?

Juzi nilikuwa nafuatilia ile kesi ya yule kijana aliyeweka picha ya Ruto kwenye jeneza hapo ni DCI officer anapigwa cross examination mpaka akasema safaricom walifanya kutoa data za faragha bila amri ya mahakama.

Hii ndio michezo wanayofanya kina Kaguta hadi akaomba juzi kwa kusema "Naomba Lissu adhibitiwe".

View: https://youtu.be/gWlzGYItU-0?si=eeuqTDsV_CZpaNY0
 
Kwa mchakamkacha aliopelekwa wakili msomi kilaza Kaguta sasa nimeelewa kwanini hii kesi ya kubumba waliamua watumie mashahidi wa gizani.

Hebu fikiria zile division 4 za policcm zingefanyiwa cross examination na Lissu hali ingekuwaje.?

Binafsi sina imani kuwa kuna haki itapatikana huko:

Utawala wa haki unapokosekana, roho za chuki na visasi hutawala kama tulivyoona kule Nepal

Kwenye hili wahanga ni wengi hadi mswaga na wenzake achilia mbali bungeni hadi CCM huko!

G0X8xrYXwAAHYUe.jpeg

Kunatemwaje bungo hapo na walamba asali, kirahisi?
 
View attachment 3469622

Kunatemwaje bungo hapo na walamba asali, kirahisi?
Hawa wahuni siku yao inakuja watadandia gari yoyote inayoenda mpakani wakimbie nchi au wakubali nao kwenda gerezani.

Hata Al-bashir hakuwahi kutegemea angekuwa mfungwa .
 
Kwa mchakamkacha aliopelekwa wakili msomi kilaza Katuga sasa nimeelewa kwanini hii kesi ya kubumba waliamua watumie mashahidi wa gizani.

Hebu fikiria zile division 4 za policcm zingefanyiwa cross examination na Lissu hali ingekuwaje.?

Juzi nilikuwa nafuatilia ile kesi ya yule kijana aliyeweka picha ya Ruto kwenye jeneza hapo ni DCI officer anapigwa cross examination mpaka akasema safaricom walifanya kutoa data za faragha bila amri ya mahakama.

Hii ndio michezo wanayofanya kina Kaguta hadi akaomba juzi kwa kusema "Naomba Lissu adhibitiwe".

View: https://youtu.be/gWlzGYItU-0?si=eeuqTDsV_CZpaNY0

Kwa mchakamkacha aliopelekwa wakili msomi kilaza Katuga sasa nimeelewa kwanini hii kesi ya kubumba waliamua watumie mashahidi wa gizani.

Hebu fikiria zile division 4 za policcm zingefanyiwa cross examination na Lissu hali ingekuwaje.?

Juzi nilikuwa nafuatilia ile kesi ya yule kijana aliyeweka picha ya Ruto kwenye jeneza hapo ni DCI officer anapigwa cross examination mpaka akasema safaricom walifanya kutoa data za faragha bila amri ya mahakama.

Hii ndio michezo wanayofanya kina Kaguta hadi akaomba juzi kwa kusema "Naomba Lissu adhibitiwe".

View: https://youtu.be/gWlzGYItU-0?si=eeuqTDsV_CZpaNY0

Mkuu nimeliangalia hilo cross examination. Hapenyi hapo Yeriko au CPA Kigagula.

Taabu ni moja tu:

"Wahuni wanalenga Simba asiwepo kwenye sanduku la kura kwa namna yoyote."
 
Hawa wahuni siku yao inakuja watadandia gari yoyote inayoenda mpakani wakimbie nchi au wakubali nao kwenda gerezani.

Hata Al-bashir hakuwahi kutegemea angekuwa mfungwa .

Hilo wanalijua kuanzia Tulai hadi kina Nshukuma huko. Hapo ndipo tunapopaswa kuulewa uzito wa huu mchezo.
 
Back
Top Bottom