Inambidi achangie usiku kwani kukikucha anajificha. Anakosa nafasi humu kwnye JF.Salaamu sana Mkuu Rejao.
Kwa kuwa niko kwenye Time Zone nyingine sikutegea nisome comment yako usiku huu. Au na wewe siku hizi umehamia kwa wapiga maboksi? Najua Tz mida hii ndo inaelekea alfajiri. Vp, mna shifti ya mchana na usiku? Wape salaamu Lumumba na Magogogni wakumbushe ...."Ni upepo tu utapita"
Kumbe CDM wote walishinda ubunge kwa magumashi. Poleni sana
I didn't know ..when did Lissu become the MP of Arusha or do you mean the court is shifting and the ruling will be read from Arusha??
Wape ukweli hao Rejao, taratibu za uchaguzi lazima zifuatwe ndiyo maana sheria inachukua Mkondo wake, ashukuriwe Mungu haturusihiwi kuhoji ushindi wa rais naamini damu ingemwagika Tanzania kwasababu waliowengi hawakumpigia kura Kikwete baadaye Tume ikamtangaza kama mshindi ndiyo maana huwa napata taabu sana kusema "Rais Kikwete"Sidhani kama kuna mkono wa CCM hapa, kinachozingatiwa hapa ni utawala wa sheria. Kama mtu hakufuata taratibu za uchaguzi, kwanini asinyang'anywe hayo madaraka? Ndio maana nimesema, tatizo linaweza kuwa kwa wabunge wenyewe au chama chao kwa kutowaelewesha vizuri wagombea wake kuhusu kanuni za uchaguzi.
Kawaambie Wameru waliokichagua Juzi kati.ukosawa kabisa mkuu, wote watolewe na hata ikiwezekana chama nacho kifungiwe itakuwa pouwaaaaa!! BIG UP CCM +mahakama chama makini lazima kifwate sheria.CCM NUMBERI ONE WENGINE WANAJIKONGOJA
Wewe ndio uliiba mataulo?? Wezi kama nyie lazima mumuogope Lissu??
Kumbe CDM wote walishinda ubunge kwa magumashi. Poleni sana
Kumbe CDM wote walishinda ubunge kwa magumashi. Poleni sana
I didn't know ..when did Lissu become the MP of Arusha or do you mean the court is shifting and the ruling will be read from Arusha??
Kumbe CDM wote walishinda ubunge kwa magumashi. Poleni sana
Huyu bibie kumbe hutembelea humu? Kiburi chake kilimrazimisha kufanya mkutano soko la Sido Mwanjelwa eneo hatari kwa ccm, na kuhatarisha usalama wa greengurd wake. Yeye Mwanjelwa alisepa na kwaachia greengurd wakishushiwa kipondo cha mbwa mwizi.
Sidhani kama kuna mkono wa CCM hapa, kinachozingatiwa hapa ni utawala wa sheria. Kama mtu hakufuata taratibu za uchaguzi, kwanini asinyang'anywe hayo madaraka? Ndio maana nimesema, tatizo linaweza kuwa kwa wabunge wenyewe au chama chao kwa kutowaelewesha vizuri wagombea wake kuhusu kanuni za uchaguzi.
Hatupo sawa mkuu, kila mtu kuna anachokiamini. From nowher huwezi nilazimisha niipende CDM kisa et na wewe unaipenda.
TIMING,
Kuvuliwa ubunge kwa mtu hakuwezi kusababisha madhara yoyote kwa nchi kama Tanzania. Ni watu wachache sana hapa nchini wapo interested na the so called wabunge. Ukifanya utafiti wa haraka haraka utaona kuwa, wananchi wengi wakiambiwa kuwa kitu kinachoitwa bunge kisiwepo, majority watakubali as bunge halina impact yoyote kwenye maisha yao.
Vitu vinavyoweza kuprovoke kuvunjika kwa amani ya nchi ni vitu vile vinavyogusa maisha ya watu directly. Kwa mantiki hiyo, TZ haiwezi kuwa kama Siera leon kamwe eti kisa Lema na Lisu wamevuliwa ubunge.
Nashangaa unavyosema kuwa sekondari sikuwa hivyo, sidhani kama kuna anayenifahamu zaidi ya hapa kwenye keyboard. Asante

Jamani wana jamvi nashauri wakati mwingine kumjibu Rejao ni sawa na kumpa credit maana he is trying to divert people from the topic ili mjadili hasira zenu. Tahadhari, nashauri tuwe tunamwacha, tusimjibu