Lissu: Kama ACACIA ni wezi, kwanini Polisi wamewapiga Mabomu wananchi wa Tarime?

Njia za kuvamia na kutaka kupora mali sio njia sahihi mkuu.Njia bora ni kuwakamata kisheria au kuwabana kisheria walipe wanachodaiwa
 
kuna sheria bhana sio kisa mtu kakuibia ndio nawe una haki ya kumuibia haiko hivyo
 
Lissu anaongea kama sio wakili. Hata kama tunasema Acacia wezi, Hakuna sheria ya kuingia migodini na kufanya fujo, hii ni mob justice. Ukiibiwa unapeleka mashitaka yako serikali na huruhusiwi kujichukulia sheria mikononi mwako. Uingereza mwizi akikuingilia nyumbani kwako huwezi kumpiga zaidi ya kujikinga asikuumize.

Mwizi akivamia shamba lako, ukienda kumtoa ni vibaya au mpaka uende mahakamani?
 
Back
Top Bottom