Lissu is too shallow compared to Prof Kabudi

Ila nasikia kabudi hana law school....alifail
 
Tokea ulivyoleta mada hii, tumeona mengi tumesikia mengi. So far, Prof. Kabudi amefaulu kuonesha zaidi mapungufu yake, tokea alipoanzia juu ya kilele cha mlima kilimanjaro, ambapo watu wa CCM walifurahi kumpata "kiboko" ya Lissu baada ya Lissu kuwa amewapelekesha sana. Iliwauma sana CCM pale Spika Anna Makinda alipojenga "Chemistry" na Upinzani kwa ujumla, na kwa Lissu ilikuwa anapata msaada wa mambo ya kisheria. Mwanasheria Mkuu wa Serikali aliwekwa kando, na bingwa wa sheria mwingine, Andrew Chenge, akawa anathibitisha kwamba "Lissu yuko sahihi". Kwa Anna Makinda ilikuwa ni kutumia "resources za Bunge", lakini kwa watu wa CCM ilikuwa ni "aibu" kupata msaada wa Lissu.

Baada ya kumleta Naibu Spika mwanasheria Tulia Ackson, na Waziri wa Sheria Profesa Kabudi, Watu wa CCM waliona sasa wakati wa "kumsujudia" Lissu umekwisha na ni wakati wa "kuwakomesha" wapinzani na Lissu wao.

So far Kabudi ameshindwa kuishi matarajio hayo. Licha ya kutoa macho sana anapoongea ili kuwatisha watu, kimsingi hana cha pekee. si kwamba Kabudi ni mbumbumbu, hapana, ni Profesa wa Sheria! Ila shida yake ni kwamba anayo kazi kubwa sana ya kubeba machafu ya serikali ya CCM. Kuna tofauti kubwa ya Kabudi wa Tume ya Katiba ya Warioba, na Kabudi Waziri wa Sheria. hata Lissu ukifaulu kumtoa upinzani ukampachika kule CCM, ukampa uanasheria mkuu wa serikali, bado atapelekwa puta na akina Halima Mdee. Unaweza pia kurejea uzi huu

Lissu vs Kabudi: Ngoma Inogile...
 
Umeongea vyema
 
Kabudi aliisoma kwa kuangalia ..mwenzake lissu aliisoma kwa kuona .

Umri wa Lissu na uwezo wake wa Sheria..HUWEZI kaa nakufikiria uulinganishe na KABUDI .

Lissu nikitu kingine ndomaana mnapenda hata aaimie uko.
Hivi hao wanaomlinganisha Lissu na kabudi wanatumia point vipi.... compare and contrast ya hotuba zao ndo jibu sahihi .... Maono ya lisu niyalinabii kbs mfano hakuna aliyesalama imagine hadi wakulima tumeisoma namba
 
Lisu sikuwahi kumsikiliza Mahakamani hivyo siwezi kumkosoa uwezo wake kama a learned lawyer kwasababu ya kelele za bungeni. Zile kelele ni kwasababu CCM ni wengi na akiongea taratibu watamsumbua kwa wingi wao..
 
Lissu ni mropokaji na mpiga kelele tu hajui lolote kinacho mbeba ni kwamba wananchi wanahamu kubwa ya mabadiliko ya kiuchumi na kiutawala.
Jiwe ni kilaza na muhuni,anachojua ni kukumbatia bunge ikulu na mahakama ,na dicteta hapendi watu vichwa na wenye vipaji, so mhe kama lissu ameoneka ni adui mkuwa kwa jiwe.therefore,jiwe akaamua kuhatalisha maisha la lissu.ndo maana tuansema serikali ya jiwe ni serikali ya wapumbavu.
 
Nyie watu wa Lumumba toeni hata suala moja tu la Kisheria ambalo Lissu alishindwa kulielezea kisheria halafu akazidiwa na kabudi katika kulielezea!!
Ukijibiwa hoja yako hii unishutue na Mimi kwa maana naelekea darasani kula vumbi za chaki na mategemeo ya 25% mwisho wa siku!
 
Hajui hata katiba ya CHADEMA chama chake sembuse sheria ya nchi? Unapigwa risasi kwa mizengwe unashindwa kuyasoma mazingira?? Risasi inapigwa kulia unaumia kushoto? Then unajiita mwanasheria nguli hujui hata kuchambua mambo??
Elezea wewe kidogo hapo alipigwaje lisasi kulia halafu akaumia kushoto! Au wewe mwenyewe mpigaji wa zile lisasi?
 
Kupayuka hakuondoe uhalisia wa fact anaeiongea!
 
Sawa, kwanini risasi hazikuelekezwa kwa Kabudi? Pia Mdee ameingiaje! Kwani Lissu na Mdee wanatumia kichwa kimoja? Mchanganyo huu unanifanya naamini umeandika kisiasa zaidi.
 
Reactions: Qwy
Ukitaka kujua who is who rejea alichokiongea kabudi na diaspora kule marekani na uhalisia wake, na urejee kesi alizoshinda lissu ya watu zaidi ya 400+ tena bila kulipwa hata cent moja
 
Huja nishawishi bado mkuu ,umetumia kigezo kidogo mno cha kiutendaji wa majukumu yao ya kisheria mahala husika


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea Bonge la point chief

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naoa kati ya hao wawili kuna mmoja ni maarufu zaidi kuliko mwingine katika jamii yetu. hayoya kujua sheria wabishane wanasheria mkulima wa mbaazi zilizokosa bei atauaje nani mwerevu zaidi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…