Lissu: Hata Mbowe achunguzwe!

Wachunguzwe Na Vyombo huru duniani. Kama Scotland Yard /FBI, tuone km Jiwe na Bashite watatoka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ikiwezekana hata kila Mwananchi achunguzwe ili tupate hao wawili waliouhusika.
 
Binadamu anayemmiminia binadamu mwenzake risasi 38 hakika si mzima na ukweli ni kwamba aliyemimina risasi kwa sasa anateseka kuliko aliyemiminiwa risasi...kweli Mungu Mkubwa.
Nasikia hakumaliza saa 24 akabadili jina
 
Dawa pekee ya kumnyamazisha Lissu huko Duniani aliko ili aachane na kuituhumu serikali yake, dawa hiyo aliyenayo ni serikali yenyewe kujishughulisha na suala la Lissu ikiwa ni pamoja na ;

1.Serikali kutoa ushahidi usio na shaka wa mtu halisi aliyehusika kumshambulia Lissu

2. Serikali kuieleza Dunia walikokuwa walinzi waliokuwa zamu kulinda nyumba za serikali wakati Lissu anashambuliwa.

3. Serikali kuieleza Dunia zilikokwenda CCTV camera baada ya Lissu kushambuliwa.

Kwa nini serikali ndo inapaswa kuwa na majibu haya? Kwa sababu ndo pekee ina mamlaka ya kutoa majibu hayo na si mwingine!!! Hayo ndiyo maswali pekee ambayo Lissu amekuwa akiyauliza kila kwenye chombo cha habari cha kimataifa anachoalikwa!!
 
Serikali hiwezi kupona kwenye hili suala maana hata kuvaa tishet ya maandishi ya kumuombea Lissu walikua hawataki
 
Na wakichunguza wakakuta mbowe ndiyo aliyempiga risasi Lisu ,utaficha wapi sura yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hutaki uchunguzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe ulisikiliza vizuri hiyo clip? walimuuliza tunasikia Mbowe anahusika na hayo mashambulizi dhidi yako. Akasema sawa, mimi sikatai, tufanye basi uchunguzi!! Unajua hoja ya kutaka wachunguzi toka nje lengo lake lilikuwa kama CHADEMA wanahusika, si itajulikana, tena ndio vizuri kwamba kama Polisi wetu watasema, itaonekana wamewabambikia, heri waseme hao wa nje. Serikali inatolea nje. sasa hapo ndio patamu. CHADEMa wako tayari kuchunguzwa, shida ni kwa hao mashosti zako Magufuli na Bashite
 
Leteni dereva uchunguzi uendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo wana chadema mnakoma na kupewa vya uso.. huku wa humu..

Nimejua asilimka kubwa nyie sio wanachama hai wa hicho chama, bali ni watu mnaokuja humu kwa ajili vyuma vimekaza kutolea stress zenu za njaa kali.
Kwann wasije lumumba na njaa zao wavute saba elfu?
 
Leo wana chadema mnakoma na kupewa vya uso.. huku wa humu..

Nimejua asilimia kubwa nyie sio wanachama hai wa hicho chama, bali ni watu mnaokuja humu kwa ajili vyuma vimekaza kutolea stress zenu za njaa kali.
Mimi sina za uso hapo kwani Mbowe ni binadamu kama binadamu mwingine, tatizo Jiwe ambaye ni Mungu.
Hata kam Mimi ningekuwa Mbowe ningekubali ili kazi ifanyike vizur, hata wakitaka kumchunguza mke wake ni sawa.
Kwani hujui wakina wachunguzi huru hawamsikilizi maneno kila muhusika atahojiwa hata ndugu zake ni suspect

Sent using Jamii Forums mobile app
 
usitufanye cc wajinga kama wewe mburura wewe. amesema kuwa mbowe haimanishi kwamba anaruhusiwa kushambulia na kuua watu wapenda haki tunataka mbowe achunguzwe na ikibidi na vyombo vya nje kisha vihamie kwa wote suspect
Huu ndiyo mwisho wa akili yako kufikiri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…