Lissu: Hata Mbowe achunguzwe!

Lissu: Hata Mbowe achunguzwe!

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
7,389
Reaction score
18,211
Tundu Lissu akiwa Alabama nchini USA wakati anazungumza na watanzania waishio huko, ameulizwa swali kama Freeman Mbowe alihusika kwa namna moja au nyingine kutokana na kupigwa risasi kwake, akawajibu hata yeye hajui huenda alihusika kweli!.

Lissu ametaka uchunguzi huru wa kuwachunguza Mbowe, Makonda, Magufuli kama wamehusika kwenye tukio lake la kupigwa risasi.

My take:

Kitendo cha Lissu kutaka hata Mbowe achunguzwe kitakuwa mwiba mchungu kwa BAVICHA wanaopenda kumkingia kifua Mbowe, huku wakimtaka Lissu agombee urais wa Tanzania.

Kama kweli Mbowe atachunguzwa kama Lissu anavyotaka, basi huenda yakaibuka mengi na hata hatima ya mauaji ya Chacha Wangwe ambayo Mbowe amekuwa akihusishwa bila uchunguzi kwa miaka mingi sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu Lisu akiwa Alabama nchini USA wakati anazungumza na watanzania waishio huko ,ameulizwa swali kama Freeman Mbowe alihusika kwa namna moja au nyingine kutokana na kupigwa risasi kwake, akawajibu hata yeye hajui huenda alihusika kweli!.

Lisu ametaka uchunguzi huru wa kuwachunguza Mbowe, Makonda ,Magufuli kama wamehusika kwenye tukio lake la kupigwa risasi.

My take:

Kitendo cha Lisu kutaka hata Mbowe achunguzwe kitakuwa mwiba mchungu kwa bavicha wanaopenda kumkingia kifua Mbowe ,huku wakimtaka Lisu agombee urais wa Tanzania.

Kama kweli Mbowe atachunguzwa kama Lisu anavyotaka ,basi huenda yakaibuka mengi na hata hatima ya mauaji ya Chacha Wangwe ambayo Mbowe amekuwa akihusishwa bila uchunguzi kwa miaka mingi sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa utakuwa mgonjwa.
 
Najua mtu anaweza kujitoa ufaham, lakini sikujua anaweza kufikia kiwango cha hali ya juu namna hii.

TL anamaanisha ikija kwenye swala lake, uchunguzi ufanyike kwa yeyote, hata kama itahusisha mke au ndugu yake achilia mbali kiongozi wa chama. tatizo ni kwamba hata huo uchunguzi haufanyiki sasa,

Wanaotakiwa kufanya uchunguzi ni dola au CDM? Hauoni kwa kukosekana uchunguzi huru ni doa kwa utawala?
Mkiambiwa hamuwezi kazi mnasema mnautaalam wa kutosha, sasa mbona hiyo kesi ya Chacha na Mawazo hakuna chochote kilichofanyika hata kama mnamtuhumu mwenyekiti wa CDM?
 
Tundu Lisu akiwa Alabama nchini USA wakati anazungumza na watanzania waishio huko ,ameulizwa swali kama Freeman Mbowe alihusika kwa namna moja au nyingine kutokana na kupigwa risasi kwake, akawajibu hata yeye hajui huenda alihusika kweli!.

Lisu ametaka uchunguzi huru wa kuwachunguza Mbowe, Makonda ,Magufuli kama wamehusika kwenye tukio lake la kupigwa risasi.

My take:

Kitendo cha Lisu kutaka hata Mbowe achunguzwe kitakuwa mwiba mchungu kwa bavicha wanaopenda kumkingia kifua Mbowe ,huku wakimtaka Lisu agombee urais wa Tanzania.

Kama kweli Mbowe atachunguzwa kama Lisu anavyotaka ,basi huenda yakaibuka mengi na hata hatima ya mauaji ya Chacha Wangwe ambayo Mbowe amekuwa akihusishwa bila uchunguzi kwa miaka mingi sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ametaka au ameulizwa uwezekano ?!. Kama unataka uchunguzi huru, huwezi kuchagua wa kumchunguza !!

Lakini ukweli mnaujua hata kama mnatafuta kichaka cha kujifichia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu Lisu akiwa Alabama nchini USA wakati anazungumza na watanzania waishio huko ,ameulizwa swali kama Freeman Mbowe alihusika kwa namna moja au nyingine kutokana na kupigwa risasi kwake, akawajibu hata yeye hajui huenda alihusika kweli!.

Lisu ametaka uchunguzi huru wa kuwachunguza Mbowe, Makonda ,Magufuli kama wamehusika kwenye tukio lake la kupigwa risasi.

My take:

Kitendo cha Lisu kutaka hata Mbowe achunguzwe kitakuwa mwiba mchungu kwa bavicha wanaopenda kumkingia kifua Mbowe ,huku wakimtaka Lisu agombee urais wa Tanzania.

Kama kweli Mbowe atachunguzwa kama Lisu anavyotaka ,basi huenda yakaibuka mengi na hata hatima ya mauaji ya Chacha Wangwe ambayo Mbowe amekuwa akihusishwa bila uchunguzi kwa miaka mingi sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nikituko unaelewa maana ya uchunguzi huru? Mbowe ninani? Ruhusu uchunguzi huru usianze kutupa majibu kabla ya uchunguzi huru kwa maana ya hata wewe au Mimi na yeyote achunguzwe tujue ukweli. Kumpoint mtu haina maana achana na ushabiki usio na tija njaaa mbaya sana. Kimbuka siyo lazima kuanzisha thread hata ukiwa msomaji inatosha. Huu ujinga utatuisha lini watanzania wenzangu?
 
Maswali mengine na majibu yake baadhi ya watu hawatakaa wayaelewe milele daima.
 
Tundu Lisu akiwa Alabama nchini USA wakati anazungumza na watanzania waishio huko ,ameulizwa swali kama Freeman Mbowe alihusika kwa namna moja au nyingine kutokana na kupigwa risasi kwake, akawajibu hata yeye hajui huenda alihusika kweli!.

Lisu ametaka uchunguzi huru wa kuwachunguza Mbowe, Makonda ,Magufuli kama wamehusika kwenye tukio lake la kupigwa risasi.

My take:

Kitendo cha Lisu kutaka hata Mbowe achunguzwe kitakuwa mwiba mchungu kwa bavicha wanaopenda kumkingia kifua Mbowe ,huku wakimtaka Lisu agombee urais wa Tanzania.

Kama kweli Mbowe atachunguzwa kama Lisu anavyotaka ,basi huenda yakaibuka mengi na hata hatima ya mauaji ya Chacha Wangwe ambayo Mbowe amekuwa akihusishwa bila uchunguzi kwa miaka mingi sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda kuna ukweli lakini Unajua kwa nini watu wanahisi hilo ni shambulio lenu kwa sababu aliyekataa uchunguzi huru ni ninyi na mbowe ndiye aliyekuwa wakwanza kuomba uchunguzi huru kutoka vyombo vya nje, na kama mlikuwa na uhakika kahusika msinge pata kigugumizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom