Uchaguzi 2020 Lissu hana jipya, kama suala la wafuasi na mashabiki walikuwepo Mrema, Slaa na Lowassa

Sema mna uhakika wa kuiba kura

Hamuwezi shinda na kura haziibiwi. Kuna maeneo leo Hii ukitaja Lissu hawajui ni kitu gani hiko ; lakini ukisema Magufuli wanamalizia gufuli. Sasa lissu ana wapambe hana wapiga kura.

CCM itawaburuza like always. Tunafanya Mkakati wa kumchukua lissu tumuajiri alitumikie taifa , atoke Kwenye chama cha Mbowe.
 
Sasa kama hivyo ndivyo , kinachowafanya mpige magoti ni nini .
Screenshot_20201001-014422.png
 
Shilatu ni eeeeh,takataka za wapi?

Shilatu and jokes aside.....

Walivyokua maarufu,muda wao ulipita,sasa yuko mwingine ndio Lissu,ni muda wake....so whats your problem?

Kama vipi turn the hands of time uwafate hao akina Mrema(shushushu),Lowassa(mCCM),Slaa(lisaliti),etc...

Walikua maarufu ndio,muda ushapita,tuna mwingine,I dont get your point!

Kwahiyo kama upinzani watu wanabadilika,CCM watu hawabadiliki?Sasa mmetuwekea the most unpopular candidate,ni very easy kwa Lissu kumpita....

Kwahiyo point yako bwana Shilatu ni viatu kabisa!
 
Mkuu hao wote uliowataja hawakuwa na kitu ambacho lissu anacho kuwafundisha sheria ya uchaguzi na kudhibiti kura zao na kudai haki zao iwapo wataibiwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom