Uchaguzi 2020 Lissu hana jipya, kama suala la wafuasi na mashabiki walikuwepo Mrema, Slaa na Lowassa

yanga2000

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
368
500
This year the full.muscles of international community will unleash enormous amount embargo we have never seen in this country, and hordes of people will be taken to the Hague.. ans their accounts will be frozen, travel bans unheard off in this country a let's be prepared pyshogically on the onslaugher of the west...simlazamisha...they are watching every kive...
 

law healer

JF-Expert Member
Apr 2, 2019
512
1,000
Utafiti : 60%--70% ya Wakristo hapa Tanzanian watapigia kura CHADEMA
70%--80% ya Waislamu wenzangu watapigia kura CCM
Hii inaashiria ushindi wa kidhindo kwa CCM pamoja na kua:--
1 kuna masheikh wengi wapo gerezani wanateswa bila kupelekwa mahakamani
2 nyadhifa serikalini kwa Sasa waislamu ni 18%-20% tofauti wakati wa Jakaya waislamu serikalini walikua 30%
3 kwa miaka mitano Ya Magufuli waislamu wengi wameshikiliwa kwa tuhuma za ugaidi hapa Tanzania kuliko Afghanistan na Iraq
Sheikh Issa Ponda Ambae ni mwanaharakati wa kiislamu baada ya kutoa waraka wa maimamu Sasa hivi anaendesha BMW mpya kawatelekeza masheikh waliopo jela hivi Sasa ni mwanaharakati mkubwa wa JPM
Waislamu wenzangu nini shida yetu?
Elimu na umasikini
Ukiongelea waislamu Tanganyika inamaana unazungumzia jamii masikini na darasa la 7
Suhanallah Wabihamdi
Suhanallah Aladhiim
Haya Masuala ya kutugawa kidini ndio huwa hatuyataki kabisa katiki nchi hii.

Utafiti gani huu kiajabu ajabu.

Hivi akili yako hata ile ya kuzaliwa umeiweka wapi??

Tafakari, kisha futa uzi huu(ushauri tu lakini).
 

Veto

Member
Apr 23, 2020
25
95
Angekuwa hana jipya, usingemfungulia Uzi .
Hint...
EjaQ9pcX0AAU6Ng.jpg
 

Ben Bella

JF-Expert Member
Dec 3, 2019
519
1,000
Missile of the Nation, tafadhali naomba utuwekee ile video ya Zitto akiwahutubia wananchi wa Mihambwe kwa huyu katibu tarafa.
 

tamuuuuu

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
15,025
2,000
Watumishi wote kura ni kwa lissu.Mmeteseka sana miaka 5 bila kupata stahiki zenu.
 

MUSIGAJI

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
1,913
2,000
Watu wasipomfuata mnasema Dar imemkataa.wakimfuata mnasema ohooo hata Mrema na Slaa walikuwa na watu hivyohivyo.
 

nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
5,432
2,000
Ila kati ya watu ambao wanakutana na vikwazo vingi na vikubwa alafu hawakati tamaa, ni huyu mjamaa aiseee.

Kaponea kwenye tundu la sindano lakini bado anawapa presha na hakomi.

Huu ni mfano wa kuigwa. Najua hata akishinda hawezi kutangazwa, ila angalau anatufungua macho.

Nchi hii bado miaka kadhaa tu kuwa chini ga ccm. Kizazi hiki cha kijinga kikipita, mambo yatakaa sawa. Wanachofanya hawa jamaa ni kusafisha njia huko wanetu waendako
 

Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,218
2,000
Siku hizi kuna IDs nyingi mpya humu, Unakuta moja inaanzisha thread afu anajijibu kwa ID nyingine ila mwana Lumumba ni mmoja...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom