ayubu ebenezer
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 350
- 208
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana kaka, wewe ndio umejipiga dole mwenyewe halafu ukanusa. Kwenye habari za TV na magazeti kama uhuru walisema raisi kagundua/kakamata makontena ya mitumba yenye magari na 20 yenye madini, kama mtu mwenye kuhoji nikajiuliza raisi amekua scanner mpaka agundue kilichopo ndani ya makontena tena akiwa ikulu, kumbe ni drama za kibashite bwana.[emoji23][emoji23][emoji23] ndugu unajitekenya na kucheka mwenyewe!! siku alipoenda bandarini alipelekwa kwenye makontena hayo haliyokuwa na magari! afisa wa bandari akawa anamuelezea jinsi walivyotumia scanner kubaini udanganyifu huo uliofanywa na waagizaji.
wakafungua, wakamuonesha hayo magari yaliyofunikwa na mitumba na magodoro.
sasa ndugu habari ya kusema magu ndo ameyakamata hayo makontena uliitoa wapi??