Uchaguzi 2020 Lissu atolea ufafanuzi kuitwa kwenye tume ya Maadili

Kwendraaaaaaaaaa
 
Tume imejaa wapumbavu watupu.

Ulitegemea wapumbavu wafanye nje ya upumbavu wao ?
 
Una uhakika Tume haijafanya utaratibu iliyouweka na kukubaliana na viongozi wa vyama? Ama unaegemea tu kwa aliyoyasema Lissu?

Tume ina watu makini, waliosoma na wenye weredi maradufu kuliko huyo mpayukaji. Anatingisha kiberiti akiamini na kutegemea umma na jamii ya kimataifa itampa kinga. Kama sheria kavunja atukumbana na nguvu ya sheria na wafuasi wake kamwe hawataingia barabarani.

Ni mtu mwenye ujeuri wa kitoto. Tunawaita watoto watukutu.
 
Nilijuwaga unaakili kumbe na wewe Ni walewale
Nina akili nyingi kuliko huyo unayemsujudia. Mwanasheria asiye heshimu sheria ni mpumbavu wa kutupwa. Muda si mrefu atakula jeuri yake. Wewe utakuwa wa kwanza kumbeza na kumdharau kwa neno moja tu "kumbe!"
 
Nina akili nyingi kuliko huyo unayemsujudia. Mwanasheria asiye heshimu sheria ni mpumbavu wa kutupwa. Muda si mrefu atakula jeuri yake. Wewe utakuwa wa kwanza kumbeza na kumdharau kwa neno moja tu "kumbe!"
Akili zipi unazo? Akili za kupanga njama kuhujumu Lisu ni Akili nzuri hizo? wewe ndiyo mpumbavu tena mbumbumbu kilaza juha peleka uchawi wako huko gheto unaposhinda ukivuta Bangi kukariri ujinga wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM na polepole.
 
Tume haina watu makini haina wasomi imejaa makada wa CCM wenye vyeti vya kununua wasio na Taaluma halisi vichwani ndiyo maana wamekomalia kufanya mambo ya hovyo hovyo ya kishetani na kishamba, hakuna msomi halisi mwenye Taaluma halisi atafanya ujinga kama unaofanywa na Tumeccm NECCCM, wewe ndiyo una ujeuri wa kitoto kulazimisha uchakachuaji wizi wa kura kisha utake wananchi kukubali ujinga wenu pasipo kuingia barabarani.
 
CCM ndiyo mnaweweseka kama mnataka Lisu akae kimya acheni kumtukana acheni mikwara ya kishamba kuwa mtu asipomchagua mbunge wa CCM hampeleki maendeleo mwambie boss wako polepole aache kuwaita wapinzani misukule na acheni uonevu unyanyasaji kuwabambikia kesi wapinzani.
 
Msajili si apande tu bodaboda ampelekee popote alipo, maana leo nasikia atakaua karatu, kwani bodaboda mpaka karatu bei gani?
 
Unaposoma mawazo ya mtu kama huyu, unasikitika kujua watu wa aina hii bado tunao wengi katika nchi hii. Hasara yetu inaanzia hapa.
 
Mbona anashindwa kutolea ufafanuzi kuhusu uraia wa nchi mbili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…