Kwa nini "walimzimia" kipaza sauti?Lissu akiwa anatoa mchango wako kwenye muswaada ulioletwa na serikali, amezimiwa kipaza sauti ili asisikike, lakini ameendelea kuongea mpaka kipaza sauti kilipo washwa, huu ni ujasiri wa ajabu.
Hata wewe HAMY-D umeanza kuwa jasiri......maana kumpaisha Lissu ni ''kashfa'' kwa Buku Saba Dirty Inc
Lissu akiwa anatoa mchango
wako kwenye muswaada ulioletwa na serikali, amezimiwa kipaza sauti baada
ya kukaidi maelekezo ya spika ya kuacha kukitaja chama cha Mapinduzi
katika mchango wake.
Lakini Lissu ameendelea kuongea na kukitaja chama cha Mapinduzi mpaka
kipaza sauti kilipo washwa tena, huu ni ujasiri wa ajabu.
Haya yote ni katika kuelezea jinsi alivyo funguliwa kesi ya rufani na
bwana Kinana.
Vichwa kama Lissu ndo vitaifanya Rasimu ya Katiba ipingwe vikari na CCM, hebu niambie kwa mtu kama Lisu kuwepo Bungeni alafu Bunge liwe na Spika HURU!!!!!!!!.
Japo Mimi sio mchadema, lkn ndani ya mjengo wa bunge napenda sana kumsikiliza tundu lissu anapotoa Hotuba. Nafikiri kwa sasa yeye ndie messi wa bunge linapokuja suala la kujenga hoja!
Japo Mimi sio mchadema, lkn ndani ya mjengo wa bunge napenda sana kumsikiliza tundu lissu anapotoa Hotuba. Nafikiri kwa sasa yeye ndie messi wa bunge linapokuja suala la kujenga hoja!
Hahhaaahahaaa jmani hatimaye NURU imeshinda giza,usijali bhana hata nape akikutoa kwenye payroll kwa muda umetoa ya moyoni..hata kikwete anamjua Lissu!!Mimi ni CCM, ila Lissu namvulia kofia, jamaa ni jembe.