antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,654
- 134,619
Duh,Asalam aleykum waislam wenzangu.
Kwa hiyo unataka muingize Chadema MAFALA kama mlivyoyajaza kule kwingine?
View: https://youtube.com/shorts/Vvm2cYqfgAo?si=JOou-nSw8OUhQKUD
Duh,Asalam aleykum waislam wenzangu.
Endelea kukariri,enzi tukiwa na Kina Mzee Kichuguu,Mohamed Said na wengine tulifanya kazi iliyotukuka ,leo wewe unajiona unaipenda San a jf kuliko enzi zetu za jamboforum.JF imeharibika sana na hivi vitoto vya 2000 viganga njaa, moderators kuna haja ya kuboresha qualification za wachangiaji humu kwa kweli, ni aibu tupu kusoma nyuzi za miaka hii!
Ili iwejepinduka wewe
Nimeona umeandika kwamba wewe ni matako ndio maana nikakuuliza mkuu angalia uchoandika vizuri hakuna sehemu ulipoandika wewe ni matako?Kama akili zako ni 0,unadhani umakini utakuwa nao?
Duh,
Kwa hiyo unataka muingize Chadema MAFALA kama mlivyoyajaza kule kwingine?
View: https://youtube.com/shorts/Vvm2cYqfgAo?si=JOou-nSw8OUhQKUD
Endelea kukariri,enzi tukiwa na Kina Mzee Kichuguu,Mohamed Said na wengine tulifanya kazi iliyotukuka ,leo wewe unajiona unaipenda San a jf kuliko enzi zetu za jamboforum.
Jf ndio imefanya nifike nilipo
Ni hivyohivyo bwana NyumbuNimeona umeandika kwamba wewe ni matako ndio maana nikakuuliza mkuu angalia uchoandika vizuri hakuna sehemu ulipoandika wewe ni matako?
Joined: Yesterday at 1:03 PMEndelea kukariri,enzi tukiwa na Kina Mzee Kichuguu,Mohamed Said na wengine tulifanya kazi iliyotukuka ,leo wewe unajiona unaipenda San a jf kuliko enzi zetu za jamboforum.
Jf ndio imefanya nifike nilipo
Nawafundisha wasinywe visungura na nashukuru wamenielewa wameajiriwa sekta binafsi wanaishi maisha yaoBasi utakua mzee mpumbavu kama hujapata busara tangu Jamboforum, wanao unawafundisha nini sasa?
Umekunywa kisungura umewehuka.Joined: Yesterday
Matako kabisa unajiona umejiunga JF 2005 kabla haijaenda hewani kumbe umejiunga jana stupid
Ili iwejeMods shusheni Uzi uu 💩
Tutawapeleka kuzimkazi na michogo yenu kama v..sm. m.fuvckTukana tu,vipi ghetto lako pale ufipa umepewa fungus nyumbu?
SawaTutawapeleka kuzimkazi na michogo yenu kama v..sm. m.fuvck
Shida imeanzia pale juu ulipoandika wewe ni matako kwanini ume-edit kwanini ukuacha vile vile watu wasome kwamba umesema wewe ni matako?Umekunywa kisungura umewehuka.
Mimi simuungi mkono tundu lisdunlakini sitokubali apindAsalam aleykum waislam wenzangu.
Kwanza niwapongeze kwa kuamka salama,niwape pole wenye madhira,Mungu atawapa tahfif.
Twende kwenye mada,ndugu wanajf,tangu tuingie mwaka mtakatifu wa nchi yetu ambao ni mwaka wa uchaguzi,kumekuwa na matatajio na mambo mengi ya vibweka vya kisiasa.
Mwanzoni mwa mwaka huu,tulishuhudia chama kidogo cha upinzani maarufu chadema kikifanya uchaguzi na kuwasimika wanaharakati lissu na Heche mamlakani,baada ya muda watu hao walianza kufanya maigizo ya kulaghai wananchi kuwa hakuna uchaguzi.
Kutokana na uimara wa ccm,jambo hilo la matapeli lilizimwa kwa mbinu za kisiasa,kupitia making mabingwa kama Komredi Masatu Wasira na wenzake waliotapakaa kila kona ya ulimwengu.
Baada ya Muda yule tapeli Lissu ambaye sasa amezeeka kiumri,alianza kuleta fujo za kuharibu amani ya nchi,lkn pia alidhibitiwa ipasavyo na sasa unasubiriwa ushahidi ili afungwe jela kwa makosa yanayomkabili.
Sasa hoja yangu ni kuwa,sababu ccm ni waumini wa demokrasia ulimwenguni,hatupendi kuona chama kama chadema kinapotea kwenye siasa kama inavoonekana sasa.
Dhumuni la kuandika hapa ni kuwaasa wazalendo wakweli kama Deo Mahinyila,Boniyai,Lema na Pambalu kuwa nyie mnaweza kukaa pamoja na kufanya mapinduzi ingali lissu akiwa gerezani jambo litakalofanya muweze kukiibua upya chama kuelekea kushinda chaguzi.
Watu watauliza kwanini sijamtaja Heche,jibu ni moja tu,Heche kwa sasa anatumika na serikali kutoa mipango yenu akisaidiwa na John Mnyika,hivyo msiwaamini,na kama mkifanikiwa kuwaondoa wakati huu,basi shangwe kubwa italipuka mitaani na kuwaunga Mkono.
Pambalu atakuwa Mbunge pale kwao,Mahinyila naye kadhalika,Lema usikatae cheo tena lkn uwe katibu Mkuu ili utendaji wote uusimamie.
Msimsahau Golugwa,na mwisho kabisa niseme kama mkiamua mnaweza na mtaifikisha chadema mahala ambapo Lissu hawezi kuifikisha.
Niwatakie utekelezaji mwema.Mawazo yangu ni ya kujenga.Msije kusema sikuwaambia.kheri ya utekelezaji.
Sawa,imeeditiwa.jibu hoja sasaShinda imeanzia pale juu ulipoandika wewe ni matako kwanini ume-edit kwanini ukuacha vile vile watu wasome kwamba umesema wewe ni matako?
Lazma apinduliweMimi simuungi mkono tundu lisdunlakini sitokubali apind
Uache kua na akili za kimatako matako nahisi nimekujibu vizuriSawa,imeeditiwa.jibu hoja sasa
Aisee unaweza,we ni nyumbu shogaUache kua na akili za kimatako matako nahisi nimekujibu vizuri
Kwanza kabisa thibitisha huyo Mungu yupo.Asalam aleykum waislam wenzangu.