Tetesi: Lissu anaumwa

Lakini si mwenyewe umeeleza hapo juu jinsi Tundu Lissu mwenyewe anavyo fanya maigizo, sasa kumbe imekuwa ni wafuasi wake ndio waigizaji?

Pamoja na hayo yote, hujakanusha uigizaji wa hao wanaopotezwa na kuuliwa kama akina mzee Kibao. Serikali hiyo hiyo unaiona haina wajibu wowote wa kujisafisha, ata kama ni kwa kufanya maigizo tu ya uchunguzi!

Padre Kitima kabamizwa kichwa, mchana kweupe, serikali usiyotaka ionekane kutokuwa makini, ipo kama haipo!

Ni lini ulisikia uchunguzi wa aina yoyote ulifanyika juu ya mkasa wa kunusurika kwa huyo huyo Tundu Lissu. Halafu leo hii unakuja hapa na kuonyesha kuwa bado kuna serikali inayofuata taratibu za kiutawala?
Hii inatofauti gani na GENGE la wauaji wasiowajibika kwa yeyote?
 
Tumia Id yako original basi
Nawe mwendee bila kuwategemea polisi. Hapo tutamwona ni nani mwamba kati yenu.
Hapa mnajipiga kifua kwa kujuwa mnawategemea polisi wawafanyie uchafu wenu; bila ya polisi nyinyi hamtambi chochote.
Na hao polisi karibuni mtanyang'anywa, tuone mtakimbilia wapi.
 
Kwani kafa? Mbona mnapaniki hivyo na mambo ndio yanaanza? Yakifika katikati je?
Wewe unajibaragaza hapo kwa kujua polisi wanawafanyia kazi; vinginevyo hata chumbani kwako usingekuwa unatoka nje.
 
Sasa tuwaomba Polisi wakae pembeni halafu tukutane. Unasemaje hapo?
Hilo litakuwa jambo jema sana.
Uwanja utakuwa tambalale kabisa.

Lakini nimemaliza kukucheka hicho kiinglish ulicho andika hapo juu #176.!
Kweli wewe ni kihiyo hasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…