Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,127
- 9,611
Duh !.Ni usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana.
Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania. Magereza wamepanick wanafanya kila liwezalo Ili Hali yake iwe normal.
Viongozi wa Chadema najua mtakuwa mmepewa hizi habari , I hope Leo mtafatilia ,but Lissu ni mgonjwa.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
Mmeshafanya yenu Ili muisingizie serikali.Ni usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana.
Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania. Magereza wamepanick wanafanya kila liwezalo Ili Hali yake iwe normal.
Viongozi wa Chadema najua mtakuwa mmepewa hizi habari , I hope Leo mtafatilia ,but Lissu ni mgonjwa.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
Hawahawa ciaSamia kampa sumu SI walisema watampa sumu
Kilq siku mnaleta drama mpya baada ya kuona NRNE imepoaNi usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana.
Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania. Magereza wamepanick wanafanya kila liwezalo Ili Hali yake iwe normal.
Viongozi wa Chadema najua mtakuwa mmepewa hizi habari , I hope Leo mtafatilia ,but Lissu ni mgonjwa.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
NRNE haipoi mkuu usije ukajifariji.......Kilq siku mnaleta drama mpya baada ya kuona NRNE imepoa
At some point mlishamuua hasi makamu we tu wa rais
Ni lini mtajua na utu?
Kuna siku atajiua Halafu awaachie msala
Samia keshafanya mambo take, moto utawasaidia kuuzimaNi usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana.
Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania. Magereza wamepanick wanafanya kila liwezalo Ili Hali yake iwe normal.
Viongozi wa Chadema najua mtakuwa mmepewa hizi habari , I hope Leo mtafatilia ,but Lissu ni mgonjwa.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
Tayari mko bize mnawapost wapuuzi akina mwijakuNRNE haipoi mkuu usije ukajifariji.......
Ng'ombe wa mamaMmeshafanya yenu Ili muisingizie serikali.
Hakuna Siri chini ya juaTetesi zimekuwa nyingi sana...
Hawajui Serikali ipo imara na tayari! Inawalia TIMING tu!Kilq siku mnaleta drama mpya baada ya kuona NRNE imepoa
At some point mlishamuua hasi makamu we tu wa rais
Ni lini mtajua na utu?
Kuna siku atajiua Halafu awaachie msala
Pole yake! Mungu amponye!Ni usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana.
Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania. Magereza wamepanick wanafanya kila liwezalo Ili Hali yake iwe normal.
Viongozi wa Chadema najua mtakuwa mmepewa hizi habari , I hope Leo mtafatilia ,but Lissu ni mgonjwa.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
Kiongozi ,MUNGU akusaidie tu.Uchawa ni dhambi ya kumwabudu mtuKilq siku mnaleta drama mpya baada ya kuona NRNE imepoa
At some point mlishamuua hasi makamu we tu wa rais
Ni lini mtajua na utu?
Kuna siku atajiua Halafu awaachie msala
Amina aminaKiongozi ,MUNGU akusaidie tu.Uchawa ni dhambi ya kumwabudu mtu