Kamanda Lissu anatakiwa aanze kusherehekea ushindi huu popote pale anapokuwa jukwaani hata kudansi ni sawa tu ili kuhamasisha wananchi kweli zimebaki dakika tano na wao waanze kudansi. Hii ni lugha ambayo wanachi wengi wanaielewa zaidi ya kutumia maneno mengi sana kwani ubongo wetu sisi wengine huchukua machache tu
Cheza na jukwaa kamanda kwa furaha na wanachi nao watacheza kwa mafanikio unayowaambia.
anashambulia jukwaa hapa,anasema yaani kama ni mchezo wa mpira zinebaki dkk 5 mpira kuisha,ccm inakaribia kung'olewa madarakani
[h=5]leo ccm wamempokea aliyekuwa sekretari wa dr.slaa (swaumu) ametoa ushuhuda namna alivyoamua kuiacha chadema kwa sababu ya kumnyima penzi dr.slaa
dr.slaa alikuwa anamforce kufanya mapenzi ofisini,alipomnyima akasimamishwa kazi na mshahara ukakatwa.
Amelia sana namna alivyokuwa na fungiwa ofisini na kulazimisha ampe penzi kwenye ofisi ya katibu mkuu...
Shetani ni shetani,huwezi ---- kiongozi kwa kuiba wake za watu na sasa unaharibu future za vijana kwa kuwalazimisha wakupe penzi na uzeee huooo...
Amekabidhi kadi ya cdm mbele ya jopo la viongozi wa chama makini ccm huku akiapa kutorudi nyuma.
Hongera swaumu kwa kutambua kuwa cdm sio chama ni genge la wahuni,pole kwa yote,alimshinda rose kamili,akakimbilia kwa hawara(josephine) leo anakimbilia kwa mtoto kama ww ambaye ni sawa na binti yake yule aliyeolewa na dady igogo[/h]
....ndo maana JK kwenye kampeni za 2010 alipofika Singida aliweka bayana kuwa ni bora Dr. Slaa awe Rais, JK akose lakini Tundu Lissu asipelekwe bungeni! Sasa ndo watajua nini Baba Mwanaasha aliona mapema na kutahadharisha!Huyu Tundu Lissu ni mtu hatari sana, yaani wiki iliyopita 'kamkunja' vibaya sana Makinda na magamba wengine bungeni, jana usiku 'kamvua nguo' hadharani Ndugai kwenye kipima joto ITV, leo tena yuko kibaya anatoa dose nzito ya Elimu ya uraia.
Anashambulia jukwaa hapa,anasema yaani kama ni mchezo wa mpira zinebaki dkk 5 mpira kuisha,CCM inakaribia kung'olewa madarakani
[h=5]leo ccm wamempokea aliyekuwa sekretari wa dr.slaa (swaumu) ametoa ushuhuda namna alivyoamua kuiacha chadema kwa sababu ya kumnyima penzi dr.slaa
dr.slaa alikuwa anamforce kufanya mapenzi ofisini,alipomnyima akasimamishwa kazi na mshahara ukakatwa.
Amelia sana namna alivyokuwa na fungiwa ofisini na kulazimisha ampe penzi kwenye ofisi ya katibu mkuu...
Shetani ni shetani,huwezi ---- kiongozi kwa kuiba wake za watu na sasa unaharibu future za vijana kwa kuwalazimisha wakupe penzi na uzeee huooo...
Amekabidhi kadi ya cdm mbele ya jopo la viongozi wa chama makini ccm huku akiapa kutorudi nyuma.
Hongera swaumu kwa kutambua kuwa cdm sio chama ni genge la wahuni,pole kwa yote,alimshinda rose kamili,akakimbilia kwa hawara(josephine) leo anakimbilia kwa mtoto kama ww ambaye ni sawa na binti yake yule aliyeolewa na dady igogo[/h]
leo ccm wamempokea aliyekuwa sekretari wa dr.slaa (swaumu) ametoa ushuhuda namna alivyoamua kuiacha chadema kwa sababu ya kumnyima penzi dr.slaa
dr.slaa alikuwa anamforce kufanya mapenzi ofisini,alipomnyima akasimamishwa kazi na mshahara ukakatwa.
Amelia sana namna alivyokuwa na fungiwa ofisini na kulazimisha ampe penzi kwenye ofisi ya katibu mkuu...
Shetani ni shetani,huwezi ---- kiongozi kwa kuiba wake za watu na sasa unaharibu future za vijana kwa kuwalazimisha wakupe penzi na uzeee huooo...
Amekabidhi kadi ya cdm mbele ya jopo la viongozi wa chama makini ccm huku akiapa kutorudi nyuma.
Hongera swaumu kwa kutambua kuwa cdm sio chama ni genge la wahuni,pole kwa yote,alimshinda rose kamili,akakimbilia kwa hawara(josephine) leo anakimbilia kwa mtoto kama ww ambaye ni sawa na binti yake yule aliyeolewa na dady igogo