Lissu anamwaga cheche Kibaha

Lissu anamwaga cheche Kibaha

Anawaasa wananchi wasiw na hofu,wajiunge chadema,kwa wale ambao hawajajiunga,kushiriki ukombozi wa nchi hii,tujiandae,tutafute watu wanaoweza kazi,huyu anayeondoka yawezekana asikubali kuondoka kistaarabu
 
Anasema hizi dkk 5 zilizobaki si lelemama,lazima tujiandae kupambana
 
Anasema uamuzi wa kuwafukuza ambao Ngwilizi alishaanza kuusoma bungeni ccm walisoma alama za nyakati na kuona kuwa ungewaondoa madarakani kwa kuwa mioyo ya wananchi ilivyovimba ingepasuka
 
Anasema kuna watu ndani ya system wanataka kuiongezea ccm maisha kwa kutumia Katiba Mpya. Suala la kuwataka wananchi ndani ya dakika tano ni kuwaburuza wasichangie ipasavyo,anasema yeye tu muelewa anahitaji masaa yasiyopungua matano kuchangia,ni suala la uchakachuaji tupu,hoi kimbizakimbiza inaleta walakini
 
Anasema tume ya katiba imetengena utaratibu wa maccm yenyewe kujadili katiba mpya kwenye mabaraza ya katiba ya wilaya
 
Bunge la katiba nalo kwa kuwa limejaa maccm nalo litapitisha utumbo wanaouita katiba mpya na hawatagusa mambo ya msingi yanayowahusu wananchi,na kwa utaratibu huu tusipoingilia kati sisi wananchi wa tz basi tumeumia
 
BADO DAKIKA 5,very good slogan.Katika mchezo wowote dak 5 za mwisho ni muhimu sana.Kwa jinsi ushindi ulivyo dhahiri dqk 5 zilizobaki CDM wasicheze kudefend bali mashambulizi tuu.
BADO DAKIKA 5.Together we play.
 
Zimebaki dk5, ujanjaujanja, leta nyuz mkuu.
 
Sasa anaaga,maneno yake ya mwisho ni kwa vijana na wazee kuamka na kushiriki ukombozi wa nchi hii,kwa hakika wananchi wameelimika sana leo na wanajipanga kiswasawa kumalizia hizi dkk5
 
Pamoja xan kamanda wangu!tupe vitu wkend iende vyema jomba!
 
Kama ccm wanaongoza kwa staili ya akina Job Ndugai ni kweli wapo nyumavkwa magoli, na mpira upo dakika ya nyongeza
 
Back
Top Bottom