UJANJAUJANJA
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 226
- 123
Anashambulia jukwaa hapa,anasema yaani kama ni mchezo wa mpira zinebaki dkk 5 mpira kuisha,CCM inakaribia kung'olewa madarakani
Anasema kutoka kituo cha jeshi Lugalo Kikwete alipata kura chache,yaani hata haungwi mkono na wanajeshi. Kinachobaki ni kumpigia saluti tu wapate mshahara
Anasema CCM kwa kugombana na wafanyakazi wa umna hasa waalimu ambao wamekuwa [wakisimamia chaguzi miaka yote,nao wamekasirika sasa,zimebaki dkk 5 CCM inang'oka